900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Nataka connection na Mhe. SSH nifanyejeDadeki hii michezo mibaya Sana, communication system bado ni ndogo Sana hasa kwenye succession plan
Mini naona kashushwa, kutoka Ikulu hadi uwanja WA fisi ni kipanda?Msigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Wakuu wa mikoa, Wilaya na wakurugenzi wA wilayaWakuu wa mikoa pia wasubiri kidogo
Mkuu hii nadhiri ni kubwa sana, shauri yakoNinyongwe ikitokea pascal mayala kuchukua hio nafasi.
Pascal Mayalla ni mnafiki ...sio vyema kuwa na wanafiki kwenye nyumba nyeupe
Nakwambia Abbasi wa Magufuli alikuwa balaa, nyodo, kunisikia utadhani yeye ndio Tanzania One, hao ndio wamefiwa kwa asilimia mia moja.Angalau 'comical' Abbas wa Magufuli kaondolewa hapo!
The interesting up&down career of Alphayo KidataRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.
- Erick Hamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi
- Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu
- Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.
Mwizi,Kwani tatizo la Doto ni lipi?
D antolewa taratibu, baadae tupa kule.Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Unatuonea tu Jiwe hakuwa Msukuma ila alijibanza kwa Wasukuma.Mama kazana kutimua hawa wasukuma ,uwezo mdogo kazi kubebana tu. DSOs,RSOs karibu nchi nzima wasukuma. Wameingizana TISS kama ukoo wa panya. Magufuri ametusaidia kutuonyesha kwamba wasukuma sio wa kuwapa tena nafasi ya urais, waliyoyafanya nchi yanatosha kabisa
Hana nguvu tena, hatatamba tena, hatafanya kazi kwa confidence Kama aliyokuwa nayo kabla.Wanaomchukia Doto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall
Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema[emoji176][emoji176]
Sawa.Nawe uheshimu yangu
Sawasawa?
Ina maana miaka yote alikuwa anawalia timing tu, alikuwa anawasubiria awapatie chance tuRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.
- Erick Hamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi
- Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu
- Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.
Wale wale tu ni sawa na Muarusha na mmasaiKwanza shika adabu yako huyo mama sio mpemba ni ni mmakunduchi
Kwani kifo cha mtajwa hapo juu kilifichwa wapi?Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.