Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Wateule wote katika nafasi mbali mbali wanapaswa watambue tu kuwa, vyeo vyao ni dhamana, wafanye kazi kwa bidii na uadilifu, wasidhani hivyo vyeo ni vyao na familia zao hapana,
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.

=======

Baadhi ya mabadiliko

- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.

- Erick Hamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi

- Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu

- Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.

The interesting up&down career of Alphayo Kidata

DECEMBER 2015

Ateuliwa kaimu Kamishna Mkuu TRA kutoka Katibu Mkuu wizara ya ardhi

MARCH 2016

Athibitishwa kama Kamishna Mkuu wa TRA

MARCH 2017

Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

JANUARY 2018

Ateuliwa kuwa balozi

MAY 2018

Aapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada

NOVEMBER 2018

Uteuzi watengeliwa, aondolewa hadhi ya balozi na kurudishwa nchini

SEPTEMBER 2019

Ateuliwa kuwa RAS, Mtwara

APRIL 2021

Ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu, TRA
 
Mama kazana kutimua hawa wasukuma, uwezo mdogo kazi kubebana tu. DSOs, RSOs karibu nchi nzima wasukuma. Wameingizana TISS kama ukoo wa panya. Magufuli ametusaidia kutuonyesha kwamba wasukuma sio wa kuwapa tena nafasi ya urais, waliyoyafanya nchi yanatosha kabisa
 
Mama kazana kutimua hawa wasukuma ,uwezo mdogo kazi kubebana tu. DSOs,RSOs karibu nchi nzima wasukuma. Wameingizana TISS kama ukoo wa panya. Magufuri ametusaidia kutuonyesha kwamba wasukuma sio wa kuwapa tena nafasi ya urais, waliyoyafanya nchi yanatosha kabisa
Unatuonea tu Jiwe hakuwa Msukuma ila alijibanza kwa Wasukuma.
 
Wanaomchukia Doto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall

Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema[emoji176][emoji176]
Hana nguvu tena, hatatamba tena, hatafanya kazi kwa confidence Kama aliyokuwa nayo kabla.
Kwa kifupi kaondolewa sumu,
Amemalizwa rasmi
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.

=======

Baadhi ya mabadiliko

- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.

- Erick Hamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi

- Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu

- Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.

Ina maana miaka yote alikuwa anawalia timing tu, alikuwa anawasubiria awapatie chance tu
 
KWANI PROFSA ASSAD HAWEZI PATA UTEUZI MBONA YUKO MAKINI SANA,INABIDI MAMA PREZIDAR AMKUMBUKE AISEE

KWNAI K
 
CV yako bado ni ya kitoto sana, tulia utapata ajira inayoendana na umri wako kuongoza shirika sio mavyeti tuu, kwanza hujatulia ndio maana umekurupuka kuleta cv yako kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom