Dkt Abbas kawa katibu Mkuu kwenye wizara ya michezo!!Dokta Abas na Nyamhanga siwaoni
Aliyekwambia wamevurunda ni Kigogo?Sikutegemea kumwona dotto pamoja na wateule wengii wa mwenda zake ambao waliburunda
Ni katibu mkuu wizara ya habari sanaa na michezoDr Hassan Abas kaliwa kichwa?
Kanyang'anywa tonge la mkono wa kulia.Dr Hassan Abas kaliwa kichwa?
Huwaoni au kusoma hujui?Dokta Abas na Nyamhanga siwaoni
Namba 16 wizara ya habari... Naona katibu mkuu ni Dk Hassan Abas Said, sasa sijui ndio huyo unamsema au huyo mwingine majina mawili yamefanana labda!Dr Hassan Abas kaliwa kichwa?
Simjui huyoAliyekwambia wamevurunda ni Kigogo?
Anaogopa waraka wa kila weekendWakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Haitasaidia, bora tu ulale upumzikeWe acha tu...ngoja kwanza nilewe
Hivi watu ni kwamba kusoma hamjui au tatizo nini? Msigwa kabaki pale pale zaidi kaongezewa majukumuNSSF mpwa wa Mkapa bye bye. TCRA Kilaba bye bye. Msigwa nae katolewa ikulu kaenda kuwa msemaji wa Serikali.
Kwani aligusia lipi?Duu alafu kuna watu wanasema tusimuamini kigogo wa Twitter.
Ni kwamba kusoma hujui?Dr. Abbas na Dotto James nje.
Edwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepga kazi nzuri Sana pale TRANi jambo jema!
Ni chuki tu za watu waliofeli maisha.Kwani tatizo la Doto ni lipi?
Mama tangu arudi mjini jana amekuwa busy na makatibu wakuu, Jumanne atatupatia muelekeo wa Ndugulile bila shakaNdungulile mwanzo niliona kama ni mtu kumbe ni yale yale tu, aliwezaje kwenda kupanga bei elekezi iwe Tshs 9 kwa mb 1