Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Waliomwambia Rais amfukuze Doto James mlale unono sio kwamba namkubali jamaa ila nazikubali strategies za Rais SSH

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji123]

Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji885]
 
Kwanini watu wanashangaa Doto kurudi kuwa Katibu mkuu wa Wizara?
 

Afadhali yako bado unaomboleza, huo ni uzalendo kweri kweri.... wenzako washamsahau angali hajaoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…