kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Ikulu yuko nani?NSSF mpwa wa Mkapa bye bye. TCRA Kilaba bye bye. Msigwa nae katolewa ikulu kaenda kuwa msemaji wa Serikali.
Wewe,,,sio walale unono,sema hawatalala leo kwa husda na chuki zao bila sababu.Waliomwambia Rais amfukuze dotto James mlale unono
Sio kwamba namkubali jamaa ila nazikubali strategies za Rais SSH
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji123]
Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji885]
Doto James Katibu Mkuu Biashara na ViwandaOhoooo.Mchembe na Doto James wamepona ?
🤣🤣🤣Sio kwamba namkubali jamaa ila nazikubali strategies za Rais SSH
🕊
Mkuu,Rais hafanyi mambo kwa mihemko ya mtandaoni na chuki binafsi za watu.watu mmejaa husuda bin manyatu,pole zenuKama Dotto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.
Wamemsahau.Profesa Lipumba vipi?
Wakurugenzi ?Hii ngoma inaenda kwa mtiririko maalum.
Wanaofuata ni Wakuu wa Mikoa, tunamalizia Wilayani.
Dawa za kufunga kuharisha zitakuwa adimu sana kipindi hiki...
Lakini katuliwa tena nafasi ileile kwenye wizara nyingine.wewe unaona kapigwa chini ama?Tatizo lake ile M ni silent, mtoto wa dada!
Sijui ni lini wameanza kumpangia Rais watu wa kuteua?Si mpaka ushahidi uwepo??
Au nyinyi mna ushahidi tayari?
Kama uchunguzi unaendelea mnataka ahukumiwe kabla ya ushahidi kukamilika?
Exit door.Dotto James Katibu Mkuu Biashara na Viwanda
Mkuu taarifa za chini chini zinadai anang'olewa taratibu , vuta subraDoto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.