Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Waliomwambia Rais amfukuze dotto James mlale unono

Sio kwamba namkubali jamaa ila nazikubali strategies za Rais SSH

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji123]

Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji885]
Wewe,,,sio walale unono,sema hawatalala leo kwa husda na chuki zao bila sababu.
Wasiowapenda wote bado wapo kwenye ajira zao.
 
Najua ni mahitaji ya lazima ya sasa ila naona kama NCHI, tunatumia muda mwingi kuteua, kuapisha na kujadili nyazifa za wanasiasa na watendaji wa serikali. Haya mambo ukiyatafakari sana utagundua hayatuongezei tija kihivyo na yanatupotezea muda na kutuingiza gharama nyingi zisizo na maana sana.

Ila huo ni mtazamo wangu tu.
 
Back
Top Bottom