Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Nafasi ya msemaji wa ikulu haipo, gerson msigwa kawa mkuu wa idara ya habari na maemaji mkuu wa serikali..imeweka title kana kwamba kashishwa cheo ila kapanda..
 
Wewe,,,sio walale unono,sema hawatalala leo kwa husda na chuki zao bilasababu.
Wasiowapenda wote bado wapo kwenye ajira zao.

Kweli kuna watu wanajitengenezea magonjwa yasiyoambukiza sababu ya chuki na choyo
Ile 16% ya watanzania ndio wanaongeza takwimu za wagonjwa wa presha na sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…