Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Kunywa sumuDoto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa sumuDoto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Kumekucha kumekuchaaaa. Chato empire mtaambia nini watu?
Tuambie mabaya aliyofanya vinginevyo acha unafiki.Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
1st son in law je?Mtoto wa dada vipi?
Ile 16% lazima mumsahau ila sisi wengine tunasubiri 40Afadhali yako bado unaomboleza, huo ni uzalendo kweri kweri.... wenzako washamsahau angali hajaoza!
Kwa nini Mkuu?Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Kwani Dotto ana kosa gani mpaka usimtegemee?Sikutegemea kumwona dotto pamoja na wateule wengii wa mwenda zake ambao waliburunda
Wewe,,,sio walale unono,sema hawatalala leo kwa husda na chuki zao bilasababu.
Wasiowapenda wote bado wapo kwenye ajira zao.
Ile 16% lazima mumsahau ila sisi wengine tunasubiri 40
Mkuu wanasoma utafikir wanakimbizwa!Hivi watu ni kwamba kusoma hamjui au tatizo nini? Msigwa kabaki pale pale zaidi kaongezewa majukumu
Nabii.Nitabilie na mimi.Ni kuwa Alphayo kidata na kipilimba walidukuliwa simu zao wakimsengenya Jiwe. Jiwe alimaindi sana
Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Binafsi nilienda Tabora Boys na One nikamaliza na three ina approach infinity. Sio hasara, ilinifunza jambo kuhusu mafanikio. Sasa nina kazi nzuri tu.
SSH zao la CCM🤣🤣🤣
Ngoma inapolilia ndo kiuno kinapoelekea.
Kwani Dotto ana shida gani Mkuu?Kama Dotto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.
Eti Bila bila...may be Jumanne tena
Huyu mchembe alikua wapi?Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
AfyaHuyu mchembe alikua wapi?