General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Namuona gwiji huyu akiula nafasi hii baada ya Gerson Msigwa.
Kila la heri Pascal Mayalla
Kila la heri Pascal Mayalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Kesho ukitulia rudia kusoma tena majina mkuu!Dr. Abbas na Dotto James nje.
Sasa Makubi kuwa KM Wizara ya afya from Mganga Mkuu ni promosheni au?Mchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Alietupandishia vifurushi kaliwa kichwa.mbona nasikia uvumi yule anayehusika na TCRA katolewa amewekwa mpya
Nafasi ya Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ipo wazi. Kuna mtu atateuliwa kuziba pengo.Nafasi ya msemaji wa ikulu haipo, gerson msigwa kawa mkuu wa idara ya habari na maemaji mkuu wa serikali..imeweka title kana kwamba kashishwa cheo ila kapanda..
Anachunguzwa wakati yuko ofisini? Kwa nini asilae pembeni kupisha uchunguzi? Huyo ndio basi tena katoboaDotto bado anachunguzwa kuhusu tetesi za kukwapua bilioni 300 BoT uchunguzi unaofanywa na CAG Kichere. Kama ni kweli basi ni moja moja lupango.
Aongeze bidii katika kusifu na kuabuduNamuona gwiji huyu akiula nafasi hii baada ya Gerson Msigwa.
Kila la heri Pascal Mayalla
Alikuwa ni nani huyo Mchembe?Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Mkurugenzi mkuu wa ikulu utaletewa baadaye. Huyo Gerson anaenda pale maelezo kusoma magazeti na tweets kisha ana retweet. Upo mchato wewe!Nafasi ya msemaji wa ikulu haipo, gerson msigwa kawa mkuu wa idara ya habari na maemaji mkuu wa serikali..imeweka title kana kwamba kashishwa cheo ila kapanda..
Sasa Dini inahusikaje kwenye uongozi wa serikali?Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Nimeuliza mara kibao lakini sipewi jibu!Kwani Dotto ana shida gani Mkuu?
Pia hajui anachosimamia, majuzi alikua team mwendazake ila leo hii amemkana mara tatuNinyongwe ikitokea pascal mayala kuchukua hio nafasi.
Pascal Mayalla ni mnafiki ...sio vyema kuwa na wanafiki kwenye nyumba nyeupe
Ndio, kwani inakuumiza?Baada ya 40 ndo mtaanua matanga, inasikitisha sana.
Umeanza lini kukosea kiswahili wewe!Nabii.Nitabilie na mimi.