Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Ila atapangiwa kazi nyingine sioAlietupandishia vifurushi kaliwa kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila atapangiwa kazi nyingine sioAlietupandishia vifurushi kaliwa kichwa.
Wafuasi wa Kigogo!Kwa nini watu wanashangaa Dotto kurudi kuwa katibu mkuu wa wizara?
Ni kwamba hawampendi tu kisa inasemekana alikua na close link na JPM.Kwani Dotto ana shida gani Mkuu?
Namuona gwiji huyu akiula nafasi hii baada ya Gerson Msigwa.
Kila la heri Pascal Mayalla
NdiyoSasa Makubi kuwa KM Wizara ya afya from Mganga Mkuu ni promosheni au?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Serikali ni ya Muungano na wengi wao Wazanzibari kwahiyo hakuna ubaya hapoHahahah kawaweka waislam wengi kiasi
Kwenye teuzi hizo unazani kaacha chato empire?Kumekucha kumekuchaaaa. Chato empire mtaambia nini watu?
Lugha yangu mama ni kisukuma.Umeanza lini kukosea kiswahili wewe!
Sasa mnachofurahi ni nini kama sio roho mbaya tu za kimasikini?Mkurugenzi mkuu wa ikulu utaletewa baadaye. Huyo Gerson anaenda pale maelezo kusoma magazeti na tweets kisha ana retweet. Upo mchato wewe!
Chiz weweWakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Kwani hawamo?Dotto namuona viwanda na biashara!Kumekucha kumekuchaaaa. Chato empire mtaambia nini watu?
Akili za wavaa sendo ni matako sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Hata Mie simjui huyo viazi vya kukaushwa.
Ni kweli. Nenda tena kasome threadmbona nasikia uvumi yule anayehusika na TCRA katolewa amewekwa mpya
Hapa tunahoji kiswahiliLugha yangu mama ni kisukuma.
Ndio, kwani inakuumiza?
Ipi?Edwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepga kazi nzuri Sana pale TRA