Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Mkuu nimecheka sana [emoji16]Akalete ujinga kama wa Mchembe aone moto. Unampigisha Rais nyungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimecheka sana [emoji16]Akalete ujinga kama wa Mchembe aone moto. Unampigisha Rais nyungu!
Ispokua aliyemshauri kumrudisha KidattaMama ana washauri wazuri naamini.
Vichwa ngumu wanaendelea kusambaratika....
Anyway Pole kwa waliochwa na karibuni kwenye ujasiri na Mali.
Kumbe mama alikuwa anaumia wakati hayati akimtenda Alphayo! Twende kazi mama...!Alphayo Kidata karejeshwa TRA..dah! JPM alimhenyesha sana jamaa
Hizi taarifa ulizipata wapi? Nani alikwambia? Tueleze na sisi tujue Mkuu?Hujui Kama Ni mwizi alikuwa akitumika na mjomba wake kutoa pesa bila idhini ya bunge , Hayati kafa wakaiba bilioni 96 + 180 , task force ya TRA ikikuwa ikipora fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na zile za faini za DPP , Doto anazipeleka China kuficha kwa balozi Mbelwa Kariuki , bado mapesa watu waliyoporwa Bureau de change , Kama wewe ndio Doto juwa mambo yako yote yanajulikana .
MwiziKwani tatizo la Doto ni lipi?
Sasa wewe ndio chizi kweli kweli..afadhali ungekaa kimya ungeficha ujinga wako. inaonekana hujui maana ya msemaji wa ikulu, usichanganye mambo. Msemaji wa ikulu sio msemaji wa rais.... kuna siku gerson msigwa umewahi maikua anaongelea ishu za rais zilizo nje ya ikulu? Ataongea kama wageni wako ikulu sio nje ya ikulu..Chizi wewe! Unajua ziara za Rais ndani na nje ya nchi? Unafananisha na usemaji wa serikali ambao unadandia?
Huyu amechangia mweshikiwa kutangulia mbele za haki aisee, mzee anajua moyo una battery anajiachia tu na raia, wakati huku mtaani kuanzia January watu walipuputika sanaMagufuli alikuwa anamsikiliza sana Mchembe. Hata idea ya kupima mapapai Coronavirus ni Mchembe ndo aliitoa. Mchembe ndo alisababisha hadi Magufuli akadharau Corona. Mchembe alimwambia Magufuli Coronavirus ni mafua makali tu. Si hatari.
Kashushwa parefuMsigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Zege halilaliHii Safi sana
Kaiba mkeo nini?Mwizi
NongwaWewe huku hapakufai nenda jukwaa la kenya kabishane na mk254
Jamaa japo katoka, ila alikua proffesional sana.Edwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepga kazi nzuri Sana pale TRA
Msemaji wa ikulu ni mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais. Hutaki unaacha!Sasa wewe ndio chizi kweli kweli..afadhali ungekaa kimya ungeficha ujinga wako. inaonekana hujui maana ya msemaji wa ikulu, usichanganye mambo. Msemaji wa ikulu sio msemaji wa rais.... kuna siku gerson msigwa umewahi maikua anaongelea ishu za rais zilizo nje ya ikulu? Ataongea kama wageni wako ikulu sio nje ya ilulu.
Unategmea mtoto awe mlipaji kuu wa serikal wakati mjomba ni Rais kitokee nini kwa policies alizokuwa nazo Mjomba?Maajabu gani ameyafanya Mkuu?
Huwezi kuwa Msemaji wa serikali halafu ukawa pia Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais.Hivi watu ni kwamba kusoma hamjui au tatizo nini? Msigwa kabaki pale pale zaidi kaongezewa majukumu
Jamani Msigwa huyohuyo ndiyo Msemaji wa Ikulu na Serikalini pia ndio Msemaji Mkuu, huwezi weka watu wawili tofauti naona nionavyoIkulu yuko nani?
Masikini siku zote ni kuombea tajiri aanguke, Msigwa anazidi kupaa kutoka mwandishi wa habari hadi hapo ni hatua kubwa sanaChizi wewe! Unajua ziara za Rais ndani na nje ya nchi? Unafananisha na usemaji wa serikali ambao unadandia?