Ooh, katiba ya warioba. Hivi ipo kweli maana hii nchi kubwa na wajanja wengi.Hakuna mapendekezo zaidi ya kurejea katika rasimu ya Katiba ya Warioba. Hiyo ndiyo itakuwa msingi wa taasisi Imara na kuondoa mrundikano wa madaraka kwa mtu mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh, katiba ya warioba. Hivi ipo kweli maana hii nchi kubwa na wajanja wengi.Hakuna mapendekezo zaidi ya kurejea katika rasimu ya Katiba ya Warioba. Hiyo ndiyo itakuwa msingi wa taasisi Imara na kuondoa mrundikano wa madaraka kwa mtu mmoja.
Basi kama huwafahamu usiwataje kwenye tuhuma kwa umoja wao. Hupotezi chochote kuiheshimu kanda.Hata kama siwafahamu ila umenielewa...
Kama ni hivyo sawa, basi ni sahihi kwa picha hii na maelezo yako haya mkuu.......Taasisi moja sio!? Hivi unaelewa ukubwa wa hiyo Taasisi unayoizungumzia!?
Unajua kwanini kwenye orodha ya Makatibu Wakuu, yule Katibu Mkuu wa Ikulu kwanini amewekwa wa kwanza?
Msemaji wa Serikali ni Idara iliyo chini ya Wizara ya Habari. Ila Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ni Kurugenzi iliyopo Ikulu. Fanya kuoanisha mwenyewe ujue nani mkubwa wa mwenzake hapo.
Tuhuma zipi au wewe ndio unaona wana tuhuma? Unaweza nionyesha nilipoweka tuhuma dhidi yao?Basi kama huwafahamu usiwataje kwenye tuhuma kwa umoja wao. Hupotezi chochote kuiheshimu kanda.
mmh...mkuu huyo c shujaa kweli au?Huyo Mchembe (Mchamba) anabeba mzigo mzito sana kichwanini mwake.
Kamsababishia kifo mtu aliyetakiwa kumpa ushauri makini.
Maisha yake yote atakuwa analijutia sana hili.
Kigogo ni boya tu....natembea na upepo.Watu wamekuwa hawamsomi vizuri.
Alisema Lawrence Mafuru na Nehemiah Mchechu watateuliwa...Ameangukia pua!!
Naona sasa hivi ana hasira na mama! Majina yote toka VP amekuwa amekosea!!
Katibu Mkuu Ikulu na Katibu Mkuu wizara nani senior kimamlaka? Ukipata jibu basi elewa kwamba boss wa Mkurugenzi MAELEZO ni KM Wizara ya Habari while Msemaji wa Ikulu bosi wake ni KM Ikulu.Kiukweli Bado upande wangu Siamini kama Msemaji wa Ikulu Ofisi MOJA tu Anaweza kuwa Mkubwa kimamlaka na kimaslahi Kumzidi MSEMAJI MKUU WA SELIKALI.. ninavyojua Mimi Msemaji wa Ikulu Hawezi kwenda kuongea Issue yoyote inayohusu wizara yoyote au Tukio lolote la Kitaifa Yeye Atasubiri issue ya Ikulu tu...
Huyo nae suala dogo hilo linamshinda kuelewa.Katibu Mkuu Ikulu na Katibu Mkuu wizara nani senior kimamlaka? Ukipata jibu basi elewa kwamba boss wa Mkurugenzi MAELEZO ni KM Wizara ya Habari while Msemaji wa Ikulu bosi wake ni KM Ikulu.
Msemaji Mkuu wa Ikulu anatakiwa kuwa mtu mkubwa sana. Kwa bahati mbaya kwa nyumbani anakuwa mtu wa kusaini Press releases tu. Cheo cha Msemaji Mkuu wa Serikali hata sikielewi maana inatakiwa kila wizara iwe na msemaji wake.Kiukweli Bado upande wangu Siamini kama Msemaji wa Ikulu Ofisi MOJA tu Anaweza kuwa Mkubwa kimamlaka na kimaslahi Kumzidi MSEMAJI MKUU WA SELIKALI.. ninavyojua Mimi Msemaji wa Ikulu Hawezi kwenda kuongea Issue yoyote inayohusu wizara yoyote au Tukio lolote la Kitaifa Yeye Atasubiri issue ya Ikulu tu...
Style ya awamu hii ya 6. Ninampa mwaka yule kule twitter atakuwa amepoteza umaarufu!!Reliable sources zimeanza kupungua. Usiri wa serikali unapaswa kurejeshwa.
Msemaji wa serikali sio post yenye majukumu yanayoeleweka. Na ndio maana utaona mara nyingu ana-copy/paste habari zile zile za ofisi ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Hana kipya!Msemaji Mkuu wa Ikulu anatakiwa kuwa mtu mkubwa sana. Kwa bahati mbaya kwa nyumbani anakuwa mtu wa kusaini Press releases tu. Cheo cha Msemaji Mkuu wa Serikali hata sikielewi maana inatakiwa kila wizara iwe na msemaji wake...
Msaada tafadhali unaweza kuweka link tukatazama CV yake huyu Mkurugenzi mpya?Ana PhD ya mambo ya Natural resources yule bwana mdogo
Ahahaha ahsanteNi TPDC Mkuu......siyo TPDF.
Mie naona arudishe tu watu wale wale kama vipi kila mtu achukue chake basi maisha yaendelee...MAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Huyu wala sio mpendwa wa jiwe,huyu aliletwa na Kikwete,alikuwa anafanya kazi huko Texas kwenye kampuni kubwa ya uchimbaji wa mafuta nadhani ShellMkuu wale wapendwa wa jiwe mmoja mmoja anapukutishwa.
Shukrani Mkuu.Ahahaha ahsante
Waziri ni msimamizi tu na kiongozi wa kisiasa zaidii, hapa hata mtu mwenye uwezo wa kawaida anaweza kuwa waziri.Ila hivi vyeo vya kuteuliwa navyo vinawadhalilisha baadhi ya wasomi. Unakuta waziri na katibu mkuu wana vidiplona au bachela halafu msaidizi wao ni Profesa. Yaani Prof anapokea maelekezo kutoka kwa Diploma au Bachelor degree holders. Kuna mokoa unakuta DAS au RAS ni Prof halafu RC na DC ni F4 au diploma!
Kuna wakati mkoa mmoja mkubwa ulikuwa na RC division 0 lakini akisimamia na kutoa amri kwa Masters, Phd na Profs