Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Alhamisi unaondoka kazini unajiandaa na pasaka kumbe jumapili hiyo hiyo ya pasaka unatumbuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiende mbio sana mkuu. Pengine huu ni mpango mzuri ili waichunguze vizuri ofisi yake ilihali yeye akiwa kahamishwa ili wamkamate vizuri. Think!Kama Doto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.
Msigwa sidhani kama anakosa maana huyo alikuwa wakupokea maagizoYani mtu kafa tarehe 7 tena ndani ya Ikulu ya Dar wao wakakimbiza Makumbusho kwenda kufungia pump. Shubamitt! Msigwa naye kaonewa huruma tuu!
Kama kweli naisikitikia TZ
Unamtoa nguli Dr Mataragio unateua huyu incompetent kwenye nafasi hii nyeti?
Rais Samia pls usianze kutukwaza mapema hivi
Huyu jamaa sijui alimkosea nini jiweAkamvua hadi Ubalozi.
Kama kweli naisikitikia TZ
Unamtoa nguli Dr Mataragio unateua huyu incompetent kwenye nafasi hii nyeti?
Rais Samia pls usianze kutukwaza mapema hivi
Asee kwanini hamtaki kuona chanzo cha tatizo ambae was Jiwe... unataka kuniambia Waziri anaweza kujiamulia mambo bila Rais kubarikiNdungulile mwanzo niliona kama ni mtu kumbe ni yale yale tu, aliwezaje kwenda kupanga bei elekezi iwe Tshs 9 kwa mb 1
Hilo hata mimi nimeliwaza hivyo tusubiri muda uthibitishe.Usiende mbio sana mkuu. Pengine huu ni mpango mzuri ili waichunguze vizuri ofisi yake ilihali yeye akiwa kahamishwa ili wamkamate vizuri. Think!
Huyo mataragio amefanya nini?.
March 19 2021. Gas-rich Tanzania has a new head of state after Samia Suluhu Hassan was today sworn in as president following John Magufuli death two days ago.
It remains unclear if Magufuli’s death will have any effect on oil infrastructure and gas projects in Tanzania and whether Hassan will be more flexible when dealing with foreign investors.
Ndio Katiba iliyopo inachotufanyia teuzi kila sikuNajua ni mahitaji ya lazima ya sasa ila naona kama NCHI, tunatumia muda mwingi kuteua, kuapisha na kujadili nyazifa za wanasiasa na watendaji wa serikali. Haya mambo ukiyatafakari sana utagundua hayatuongezei tija kihivyo na yanatupotezea muda na kutuingiza gharama nyingi zisizo na maana sana.
Ila huo ni mtazamo wangu tu.