Utter nonsense. Muombe Abdul pesa umjengee wewe kwenye boma la babu yako!Wanabodi. Tumsifu yesu kristo. Asalama leko.
Kama kichwa cha habari hapo juu
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt samia suluhu hassani.
Mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini akiongoza raia million 60.
Rais ambaye ambaye ameleta philosophy 4r. Mwenye misimamo ya hali juu asiye tetereka kwenye uwanja na medani za kisiasa ndani na nje ya mipaka (WHO ARE YOU?)
Ametekeleza mipango na mikakati ya maendeleo ya nchi kwa umaridadi mkubwa ELIMU, TECHNOLOGY, AJIRA, MIUNDOMBINU YOTE YA USAFIRI ANGANI ARDHINI NA MAJI, AFYA bima kwa wote.
Ndugu wa TANZANIA ๐น๐ฟ tumuombee rais wetu Mwenyezi MUNGU ampe afya utimamu wa kiakili na mwili wote wenye nia ovu wasipate nafasi hiyo.
Tuwaombee washauri wake na viongozi wa ulinzi na usalama wamshauri yaliyo mema na kujenga na yenye ukweli ndani yake ili wawachie wanaoshikiliwa kwa kesi za kubambikiwa. zaidi yaliyotokea 29 october 2025 ambayo yalichangiwa na washauri wenye utimamu mdogo wa kia akili
Amen
Wanabodi. Tumsifu yesu kristo. Asalama leko.

Naona unamsifia kaโฆ mwenzako๐Tukuna uone nikuwashie moto
๐๐๐๐๐๐๐๐Wanabodi. Tumsifu yesu kristo. Asalama leko.