Rais Samia Suluhu Hassan ajengewe sanamu katika majiji yote nchini Tanzania

kusema ajengewe sanamu kwenye majiji yote, huko ni kumpa sifa zisizostahili.
hata yeye mwenyewe huu ushauri hawezi ukubali.

hiyo paragraph ya mwisho ndo lenye mantiki, ila hizo zilizotangulia juu weka kwenye ๐Ÿšฎ
 
Kama ukumbusho kwa kuwa ni mwanamke pekee jamhuri haitokaa kufikiri kuleta maanamke mwingine ashike nafasi hiyo
 
Kama ukumbusho kwa kuwa ni mwanamke pekee jamhuri haitokaa kufikiri kuleta maanamke mwingine ashike nafasi hiyo
kwa hiyo tutajenga masanamu mangapi kama kila mwanamke atakapokuwa rais?

hizo gharama za kujenga masanamu yake kwenye majiji nchi nzima atazigharamia nani, Je ni wewe?
 
Sanamu huwa haijengwi wewe.
 
Sanamu Liwe na picha ya mzee kibao pembeni na zile picha za hospital mwananyamala za 29oct
 
Daah watu mna moyo sana aisee kama wachimbaji kwa matusi haya bado utaanzisha nyuzi inayofanana na hiyo tena..
 
Wafanyakazi wanapokea mishahara kwa mafungu wengne adi tarehe 28 walikua bado hawajalipwa mishahara yao

Bajeti ya serikal imetoka kwenye makaratasi ila kwenye account pesa hazijaingia wadhabuni tuna dai tasisi za serikal pesa za mwezi wa5 hazijatoka adi saiv mwezi wa8 bado atujalipwa

Sa sjui izo pesa za kujenga masanamu mtatoa wap km pesa za mishahara hamna wala pesa za kuripa wadhabuni walio wapa vitu ili
Kukamilisha miradi mnayo isifia na kuitangaza hawajalipwa

Na mwambie uyo mama yako tunako elekea serikal yake itapata shida sana kupata wadhabuni wa kizawa sababu wanachukua mali zao afu malipo yamekua shida

Kuna tenda kama 7 za serikal ziko nest zimetangazwa na kuinvait wadhabuni tangu mwezi wa 5 adi leo hii akuna mdhabuni wa kitanzania kaomba, izo tenda zimetangazwa zaidi ya mara 6 na akuna mdhabuni anazitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ