Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

IMG-20240920-WA0056.jpg
 
..mbona Mama Abduli hajavaa kombat ili kudhihirisha ni mtu wa kazi?
 
Huyo polisi ndo bosi alafu huyo aliyevaa sketi ya bluu ndo mfanyakazi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Zina saidia nini picha? Ujinga mtupu.
Yaani Rais ana waita watu walio mpa madaraka ni wanyama? Maana wanyama ndio wenye mikia. Na walio mwajiri mikia imeanza kuota kama ya kondoo. Hamna shida lakini..
 
Maza anatudharau sn wabara
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

View attachment 3101179
Inchi Nzuri, viongozi madhubuti wa kupendeza na kuaminika kitaifa na kimataifa 👊💪
 
Attachments

  • VID-20240920-WA0034.mp4
    2.3 MB
  • VID-20240919-WA0007.mp4
    3.7 MB
Kama amejiuzulu atakumbukwa kwa uungwana.

Back
Top Bottom