Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
We unaitwa naniKazi imepangwa ikapangika, nchi italindwa kwa gharama yoyote ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Zina saidia nini picha? Ujinga mtupu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Anatisha sana!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
View attachment 3101179
Wasaidizi wake wamesahau kumkumbusha kuwa wakati huu anatakiwa atishe sana, ili watu wake wakunje mikia waliyoota...mbona Mama Abduli hajavaa kombat ili kudhihirisha ni mtu wa kazi?
Maza anatudharau sn wabaraZina saidia nini picha? Ujinga mtupu.
Yaani Rais ana waita watu walio mpa madaraka ni wanyama? Maana wanyama ndio wenye mikia. Na walio mwajiri mikia imeanza kuota kama ya kondoo. Hamna shida lakini..
Inchi Nzuri, viongozi madhubuti wa kupendeza na kuaminika kitaifa na kimataifa 👊💪Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.