Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu


1.jpg
1..jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Oman Haitham bin Tariq Al Said kabla ya kuanza mazungumzo yaliyofanyika Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
6..jpg
6.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Oman mara baada ya kuwasili Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 12 Juni, 2022.
7.jpg
8.jpg
10.jpg

11.jpg

Kikosi cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa ajili ya Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. PICHA NA IKULU
 

Attachments

  • 1...jpg
    1...jpg
    414.8 KB · Views: 7
  • 2.jpg
    2.jpg
    401.9 KB · Views: 7
  • 3.jpg
    3.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • 4.jpg
    4.jpg
    1 MB · Views: 10
  • 9.jpg
    9.jpg
    662.1 KB · Views: 11

HM Sultan Haitham bin Tarik receives HE President of Tanzania upon her arrival to Sultanate of Oman


 
12 June 2022
Muscat, Oman

Maulana Sultani Haitham bin Tarik wa Sultanate ya Omani ameanda dhifa maalum katika kasri ya Al Alam Palace kumkaribisha mh. Rais Samia Hassan na ujumbe wake .

1655107332658.png

His Majesty Sultan Haitham bin Tarik hosted an official dinner at Al Alam Palace guest house on Sunday evening in honour of President Samia Suluhu Hassan of Tanzania. Prior to the dinner, His Majesty the Sultan and the Tanzanian President exchanged commemorative gifts on the occasion of the Tanzanian President’s visit to Oman.

1655107756234.png

Maulana Sultani Haitham bin Tarik wa Sultanate ya Omani na mheshimiwa Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakikabidhiana zawadi za kitaifa walipokutana ktk kasri ya Al Alam Palace

1655107824269.png
 
Mh. Rais Samia Hassan atembelea makumbusho ya taifa ya Omani

1655107678993.png
 
Back
Top Bottom