Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Watendaji wa Wizara za Fedha, Uwekezaji na TRA kujadili Masuala ya Kitaifa

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.

Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza

Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri

1684504949779.png
 
WATENDAJI MAKATIBU WAZIRI HAPO WAMENONA WANA NURU,KULIKO HATA WAFANYABIASHARA

ova
 
Wabunge,mawaziri & wananchi ni sehemu ya matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.

Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza

Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri

View attachment 2627754
Haaaa. Haya mambo yanafurahisha sana. Watuhumiwa wanaitwa IKULU kwenye round table na mapochopocho juu ya meza.

WADHULUMIWA wapo kariakoo hawajui hatia ya hoja zao kama zitafanyiwa kazi au zitatupwa kule na WATUHUMIWA waendelee KULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO kwa sababu waliyekuwa wanahitaji wakutane naye amekutana na WATESI wao badala ya wafanyabiashara!
 
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.

Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza

Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri

View attachment 2627754
Samia is weak, very weak! Mwenye kuweza kuiba na aibe. Samia is very weak, very weak! kama la naibu waziri Tamisemi na binti wa Udom bado Naibu yuko ofisini, unataka ushahidi gani tena kuwa she is very weak! .
Nyerere alisema ukisha tuhumiwa tu, achia ngazi maana umma hauna imani na wewe tena. Samia ameziba masikio.
 
Mwigulu anatia huruma
 
Hii ni Tanzania tu pekee mkuu, Upuuzi kama huu hutapata kwingine kokote duniani
 
Samia ataiangamiza nchi. Kwa udhaifu huu watu wataiba sana. Na wanaiba wazi wazi maana wanajua hawezi kuwafanya kitu. Wameshajua udhaifu wake. Nadhani ni kwa vile anabembeleza kugombea tena 2025
 
Mama awe reformer, asifanye zimamotozimamoto.
Afumuefumue mifumo yote inayoweka loophole ya rushwa aisuke vizuri.
Aweke component ya ICT kwenye mifumo ili kupunguza middle men hapa wa kula rushwa
 
Back
Top Bottom