Haaaa. Haya mambo yanafurahisha sana. Watuhumiwa wanaitwa IKULU kwenye round table na mapochopocho juu ya meza.Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza
Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri
View attachment 2627754
Samia is weak, very weak! Mwenye kuweza kuiba na aibe. Samia is very weak, very weak! kama la naibu waziri Tamisemi na binti wa Udom bado Naibu yuko ofisini, unataka ushahidi gani tena kuwa she is very weak! .Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza
Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri
View attachment 2627754
Mwigulu anatia hurumaRais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza
Hongera sana Mama kwa kuwajali watanzania hatua hii ni kubwa sana kutokana na mgomo ule wa kariakoo naona Rais Smaia Suluhu ameamua kulibeba hilo suala yeye mweneyewe safi sana tutarajie mambo mazuri
View attachment 2627754
Kweli kabisaWabunge,mawaziri & wananchi ni sehemu ya matatizo mengi yanayoikumba nchi yetu.
Hii ni Tanzania tu pekee mkuu, Upuuzi kama huu hutapata kwingine kokote dunianiSamia is weak, very weak! Mwenye kuweza kuiba na aibe. Samia is very weak, very weak! kama la naibu waziri Tamisemi na binti wa Udom bado Naibu yuko ofisini, unataka ushahidi gani tena kuwa she is very weak! .
Nyerere alisema ukisha tuhumiwa tu, achia ngazi maana umma hauna imani na wewe tena. Samia ameziba masikio.
Samia ataiangamiza nchi. Kwa udhaifu huu watu wataiba sana. Na wanaiba wazi wazi maana wanajua hawezi kuwafanya kitu. Wameshajua udhaifu wake. Nadhani ni kwa vile anabembeleza kugombea tena 2025Hii ni Tanzania tu pekee mkuu, Upuuzi kama huu hutapata kwingine kokote duniani