Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days.
Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu atajenga system yake! Baada ya siku 100 ofisini, mama atakua mwenyekiti wa chama tayari, atakua amewapa watu fursa wameshindwa wenyewe.
Siku 100, mark my words, sumukuvu zitachujwa moja baada ya nyingine, sura mpya zitaingia moja moja! Kwa hakika Samia ana uwezo mkubwa kuliko nilivyo m-underrate! Wengi, Kigogo na wengine, wanataka mama akurupuke na kubomoa bomoa, lakini naona mama anatumia hekima kubwa sana.
Kwa sasa, namwombea Mama Samia Suluhu Hasan, na serikali yake! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki SSH.
Update:
Mazaa analisongesha game! Sabaya out, hureee! Mamaaa maamaaa, Maaaaamaaa, Mama huyu!!! Mungu endelea kumbariki mh. Raisi SSH!