Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

wewe unapambanaje na Corona, unajuwa watu wengine mnaakili za ajabu
 
Uzalendo upi unaomaanisha mkuu? Njaa haina uzalendo......na kuishi maisha magumu yenye changamoto haimaanishi ndiyo uzalendo
Simaanishi kwamba uzalendo ni maisha magumu! Namaanisha kwamba mimi ni mzalendo, na naitakia nchi yangu mema! Natamani tuwe na utawala bora kabisa, na nchi yetu ipige hatua. Natamani elimu bora itakayo jenga uzalendo wa kweli, lakini naheshimu diplomasia na uhusiano wa kimataifa, pia! Sisukumwi na njaa kuwaza na kusema haya! Naipenda sana Tanzania, na naiombea, jiunge nami, hata kama Una njaa!
 
Mi nimetapeliwa sana na kujifanya mpenda haki naona bila rushwa ,kujuana na mtu hutoboi nchi hii trust me, kama unabisha nenda ofisi yoyote ya ardhi, na sehemu nyingine utakazohitaji huduma
 
Mi nimetapeliwa sana na kujifanya mpenda haki naona bila rushwa ,kujuana na mtu hutoboi nchi hii trust me, kama unabisha nenda ofisi yoyote ya ardhi, na sehemu nyingine utakazohitaji huduma
Kuwepo mambo hayo hakufanya, neno haki lifutike kwenye kamusi! Uongo mwingi hauwezi kufanya kusiwepo existance ya ukweli! Sijafukia kichwa changu kwenye mchanga kama mbuni, najua sana uwepo wa matatizo hayo! Nina miliki gari, nina pasipoti, nina hati miliki ya viwanja nk! Naelewa lugha unayo zungumza, lakini kuwa mzalendo ni uchaguzi wa Mtu, siyo external force yoyote!
 
Nikweli ila kuna vikwazo vingi vya uzalendo vinavyokufanya kukurudisha nyuma kwenye imani ya uzalendo
 
Kuanza hua haiwi shida mkuu, Tatizo hua ni concistance ya kile ulichokianza.

Mungu amsaidie Rais wetu maana tunajua
 
Nikweli ila kuna vikwazo vingi vya uzalendo vinavyokufanya kukurudisha nyuma kwenye imani ya uzalendo
Ni kweli lakini kukubali vikwazo vituzuie kusonga mbele, ndo unyonge wenyewe! Mimi nina watoto wadogo, na taifa lina kizazi kingine ambacho, tunaweza kuwekeza ili kuwe na better future!
 
Ni kweli lakini kukubali vikwazo vituzuie kusonga mbele, ndo unyonge wenyewe! Mimi nina watoto wadogo, na taifa lina kizazi kingine ambacho, tunaweza kuwekeza ili kuwe na better future!
Uko sahihi, ila njia unayoipita wewe nchi inaelekea upande mwingine
 
Hivi Kigogo2014 ni nani? Nabii? Mtabiri wa Taifa? Whistle blower? Mshauri? Mkosoaji? Au mtukanaji? Natamani kujua hasa nini kusudi, dhamira ya taasisi hiyo kwa Taifa letu.
Ni kijana wetu wa Bumvuli
 
Hivi Kigogo2014 ni nani? Nabii? Mtabiri wa Taifa? Whistle blower? Mshauri? Mkosoaji? Au mtukanaji? Natamani kujua hasa nini kusudi, dhamira ya taasisi hiyo kwa Taifa letu.
Ni Whistle blower!
 
Huu ni ushamba! Uongozi haufanikiwa kwa kufokea watu na kuwadhalilisha watu wazima wenzio! Inatosha kufuata sheria na taratibu katika kuhakikisha kila waziri na manaibu wao wanatekeleza wajibu wao. Ukiona mtu ana uongozi wa aina hii yaani 'populist' ni hatari kwa ustawi wa nchi. Kama wengu tulivyoshuhudia nchi ilivyopelekwa kishamba na huyo mwendazake!
 
Basi hujui uongozi bali unajua siasa na kubembelezana. Uongozi ni stick and carrot!!

Jeshini huwa kuna kozi inaitwa ledareship; mojawapo ya tenets za leadership ni kwa leader kuwa above wale anaowaongoza. Leaders wa jeshini hufundishwa kutumia njia kama uwatupa lupango mara kadhaa wafuasi wao wasiofuata oda zao - yaani stick.
 
Hizo zama zenu za stick leadership zimepitwa na wakati! Kiongozi ni Sawa na Sisi, hayupo above, tunatofautiana majukumu tu! Tukipata kiongozi anayeelewa kwamba binadamu wote ni Sawa, tutapata maendeleo!
 
🙏🙏
 
mpaka leo hujawahi kumwelewa tu?
Hivi Kigogo2014 ni nani? Nabii? Mtabiri wa Taifa? Whistle blower? Mshauri? Mkosoaji? Au mtukanaji? Natamani kujua hasa nini kusudi, dhamira ya taasisi hiyo kwa Taifa letu.
 
Mkuu Mungu ameturudisha kwenye dunia, Tupo na binadamu wenzetu, Sisi siyo kisiwa tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…