Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Naisikia Kuna matumaini ya ajira kwa madaktari, mliomsikiliza katoa tumaini gani?
 

Hapo ndio mtakazania mpaka basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na munatawalwa kijinga jinga na CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., ata Rwanda ama Uganda hamtoshi kamwe.
Rwanda,Uganda,Burundi, Congo kote huko tayari,sasa tunamaliza kazi kwenu,tumeshawatala kwenye entertainment, politics, socially bado kwenye sports ambapo soon
 
Mama alikuwa kabinywa sana na jiwe,alkuwa anaona ila anashindwa kupaza saut yake,mama anatoa uozo wote wa jiwe
 
Mi nasubiri hapo pa wakuu wa mikoa, kuna watu presha inashuka presha inapanda....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na munatawalwa kijinga jinga na CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., ata Rwanda ama Uganda hamtoshi kamwe.
Ug tumeweka wa kwetu baada Ya kumtoa wa kwao, Rwanda tukaweka wa kwetu, Congo wa kwetu. Nyinyi mdebwedo tu.
 
Mama kapindua meza fasta,huyu mwendazake alikuwa anatubinya sana,ameligawa Taifa,tukawa hatupendan kila sekta
 
Tunawatawala ndo maana mnatuwaza kila muda hao Rwanda na Uganda tuliwawekea mpaka marais.
Hakuna kitu Wakenya wanaogopa Kama Tanzania...wewe ukikutana na Mkenya anafanya umbeya dhidi ya TZ mwambie wewe nyang'au nyamaza, pumbavu wewe...nakwambia ataondoka Bila kubisha
 
Ila hapo kwenye kuchimba Madini yaliyopo ndani ya eneo la National Parks zetu hapo sikubaliani Naye.

Ila kwakuwa hakuna kama mama wacha nikubali kutokubaliana
Mama kasema vizuri kuhusu madini yaliyopo kwnye national parks kwa sababu amesema tuangalie opportunity cost ,tusipochimba gharama gani za kifurusa tunakosa na tukichimba gharama gani za fursa tutapata means itafanyika Environment Impact Assessment ili tujue viumbe hai ,watu ,na mazingira na maendeleo tutakayopata tukichimba madini ,mbona mradi wa Stiglers gorge umefanyika licha ya zile kelele.
Kwa sasa tunateanda na alternative projects kama kuna mradi unaweza kutupatia fedha na una athari ndogo kwa mazingira ufanyike.
 
Zilifungiwa kwa kumkashifu dikteta, sio kwamba walikuwa wamevunja sheria, na sasa dikteta hayupo tena. Akili zikianza kuwarudia majirani kwa mtindo huu mtafaidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…