Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Mh SSH
IMG-20210406-WA0068.jpg
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi yetu, ila si kwa kodi za dhuluma. Atakayekwepa kodi kipindi hiki atashughulikiwa vizuri tu na atakuwa mhujumu uchumi wa kweli.

Anachotaka mama ni professionalism ktk ukusanyaji wa kodi....Ukitaka mafanikio ya kudumu ya jamii lazma ufuate kanuni sahihi.
 
Mbona mambo mengi yanabadilishwa ghafla. Meza inapinduliwa, mapaparazi wanaenda kuwa huru. Covid 19 itaanza kushughulikiwa kikamilifu. Nadhani huu ni mwanzo, mengi yanakuja. Ngoja tuone, muda utatoa majibu.
Usisahau, hii ni awamu ingine, kama zilivyokuwa awamu za MWALIMU, AHM, BWM, JK, JPM...........
 
Ikulu ni Ikulu tuu
Rais anaweza hata kuwaapishia ikulu ya Mtwara🤣🤣🤣
Watu wameapishiwa Chattle kwa bwana yule, afu tunashangaa wakiapishiwa Tanzania, Daslam...
 
Nimesikiliza hotuba yote ya Rais Samia.

Alipofika kwenye vipaumbele kataja kuhusu viwanja wa ndege.

Nilidhani atataja kuhusu uwanja Chato lakini akaishia kutaja tu wa Msalato, Dodoma.
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi yetu, ila si kwa kodi za dhuluma. Atakayekwepa kodi kipindi hiki atashughulikiwa vizuri tu na atakuwa mhujumu uchumi wa kweli. Anachotaka mama ni professionalism ktk ukusanyaji wa kodi....Ukitaka mafanikio ya kudumu ya jamii lazma ufuate kanuni sahihi.
Hakuna kosa la kisheria TRA katika process zao za kukusanya kodi. Atukatai kuna wafanyakazi wachache wenye tabia mbaya ambao wanatumia mamlaka waliyonayo kisheria kusumbua watu na kutochukuliwa hatua.

Mbona matatizo hayo hata mtangulizi wake alikuwa anakemea. Watu aina hiyo wakiaribu eneo moja wanaamishiwa kwingine hapo ndio kwenye shida.

Lakini anapokosoa record keeping requirements za accounting practice and fraud investigation procedures zinazotumika dunia nzima kisa kutafuta cheap popularity hapo ndio kwenye shida.

Kwingine ni kwenye LNG badala ya kuuliza kwanza sababu za impasse tayari anatoa maagizo hivi tunadhani watu wanatumia billions of dollars kwenye exploration and kukujengea plant kwa sababu wanakupenda sana. Atafute mtaalamu mmoja kwanza amuelezee shida ilipo kabla ya kutoa maagizo without understanding the facts; vinginevyo ni kama anatoa baraka watu waingie mikataba ya ovyo tu ikibidi.

Mama anaongea maneno mazuri yenye kuvutia kwa watu, ila ukiyatafakari mengine unaona yana shida sana mbeleni.

Yetu macho
 
Dodoma ndio bye bye...
Hivi huwa mnakaa hata kidogo,kusikiliza mkuu wa nchi anaongea Nini,au ukisikia neno moja bila hata kutafakari mnakimbilia kupost.Mbona rais kasema.uwanja wa.ndege Dodoma uarakishwe kujengwa maana tokea awamu ya Kwanza ya awamu ya tano,uwanja huu ulitakiwa kuanza kujengwa?
 
Huyu mama ni mama kweli kweli.....!!!
Ameonesha ana huruma, upendo na nia ya dhati kuwatumikia Watanzania!!!
Ameonesha kuwa na mwelekeo tofauti kabisa na mtangulizi wake hayati Makufuli. Kwa uchache ni katika haya yafuatayo:
  • Anataka fedha ilirudi mifukoni mwa Watz.
  • TRA wakusanye kodi kwa weledi badala ya mabavu kama alivofanya Hayati Jiwe.
  • Media zilizofungiwa(TV, Radio na magazeti) vifunguliwe.
  • Wawekezaji wasibughuziwe na wahudumiwe haraka iwezekanavo.
  • Serikali ijipange kulipa madeni ya PSSSF ili Wastahafu walipwe mafao yao.
  • n.k na n.k.
 
Back
Top Bottom