Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Mkuu we endelea tu na jukumu la kupandisha mishahara, hii nchi mabeberu weusi ni hatari kwa afya!
Wametoa waraka si ajabu mtandaoni, lakini kwa wahusika makampuni ya simu haujawafikia, wameambiwa imeisha hiyo, Aluta continua, funika kombe mwanaharamu apite.

Everyday is Saturday............................... 😎
Mei mosi itakuwa ni Saturday pia, save date na id yangu
 
Kafanye kazi. Mkaonyeshe uzalendo uliotukuka. Katekelezeni yale yaliyomo kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Sasa wewe ulitegemea aseme anatekeleza ilani ya chama gani??
Aendelee na utekelezaji ya ILANI ya CCM but in a very different way as compared to the late Makufuli Pombe, the fallen dictator.....!!!!
 
5e5c7403-b66e-4a90-be11-9710c93edc55.jpg

98f93b81-2e16-4a88-96c2-2109e83567f6.jpg

9f1fda5e-2ac3-470c-8aee-25aa5c5740fb.jpg

2af12735-7f17-481c-9bef-369ba5acf1c7.jpg

82e0f0b4-caa7-4015-a955-99dbcdde64f7.jpg

388a747e-7d55-4c40-8eab-a132e06764c7.jpg

3eaef544-9923-435f-86cb-830473d2eb58.jpg

4a886915-4ce4-446c-b58b-47df1f4f9fb2.jpg

efa9d9a9-e5dd-4602-88b5-2be2ea0c786a.jpg
 
Kwa hio kipimo cha mji usio wa kichovu ni english breakfast?
Eeh, sasa wewe unafikiri sisi mabeberu tutakula nini tukienda kutembelea "makao makuu". Tunataka sehemu nzuri ya kula breakfast. Nyie watu wa kuja bwana! Yaani umeshaona kula English breakfast ni anasa! Hovyooo!
 
Wewe mpandisha mishahara nikikukamata utajuta, kumbe umo humuhumu Jf, Mimi member mwenzio umeniacha mwaka wasita huu sijapanda.
Hayati alipanga mwaka huu apandishe, mrithi pia anafata nyayo japo ye atatofautiana uzani.
 
Back
Top Bottom