Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

We naye hueleweki kila kitu unalalamika
Ni kweli
Watu wawe na kiasi
Kwa nini watu wasiwe positive hata kidogo khee
Mama ameonyesha usikivu uelewa upole na huruma
Itakuwa vyema kushauri kuliko kulalamika tuuu
Dodoma Dar yote ni ndani ya Tz
 
Mkuu kasema opportunity cost ndio muhimu.... Unapima hasara na faida. Coz unaweza hata compensate kwa kutenga au kupanua hifadhi upande mwingine na ukapunguza upande mwingine...
Ana hoja ya msingi sana kwa hili
 
ila rais kuna ishu moja katamka, wajanja lazima waitumie fursa.
kusema kuwa kwa tamko lake ishu ya kodi anaamini mapato yatashuka kwa muda, lazima watu wapige mzigo wa kitosha hapo kwa hii kauli tu...
 
Asanteni ndugu wachangiaji nimesoma yaliyojiri maana nilikuwa kwa shamba.
 
Msuli na akili hutumika kwa pamoja ww njemba
Kwenye soka ukitanguliza nguvu kuliko akili lazima upate red...kwenye ngumi najua unajua kitakachokupata...kifupi akili inapaswa ianze kutumika kabla ya nguvu
 
Mbona mambo mengi wanabadilishwa ghafla. Meza inapinduliwa, mapaparazi wanaenda kuwa huru. Covid 19 itaanza kushughulikiwa kikamilifu. Nadhani huu ni mwanzo, mengi yanakuja. Ngoja tuone, muda utatoa majibu.
Na utashangaa waliokuwa wanaunga mkono tena kwa matusi makubwa ndiyo wa kwanza kushangilia na kupiga makofi.
 
CCM nitakataka
Dah! Mpinzani hatofautiani na shetani, tena lusifa aliyefungwa minyororo!

Kipindi cha utawala wa Jakaya wapinzani na watanzania kwa ujumla walilamikia suala la Rushwa na Ufisadi uliokithiri, 2015 akaingia Magufuli akanyoosha mpaka mafisad wengine wakakimbia nchi, akayafanyia kazi kero kubwa zaid za wananchi vile wapinzani na watanzania walitamani iwe ivo. Magufuli nae Wapinzani wamelalamika sana juu ya utawala wake eti ulikua utawala wa kibabe.

Dah! Sasa mama Samia nae ameshika nchi ameonesha kulegeza makali ya kutumia nguvu/ukali Bado Mashetani /Wapinzani wanasema ""hovyo kabisa"".

Ebu nyie Mashetani semeni, Lusifa Mbow yeye akishika dola ataongozaje,!!

Haya Majini na mapepo inukeni, tutawashusha kwa jina la Muungano. Shusha nguvu za kuzimu!
""Kazi iendeleee""
 
"Wakati ule ni ule na umeshapita na huu ni wakati wangu"
Na mkinizingua nitawazingua
Mkuu kasema opportunity cost ndio muhimu.... Unapima hasara na faida. Coz unaweza hata compensate kwa kutenga au kupanua hifadhi upande mwingine na ukapunguza upande mwingine.

More so uchimbaji sio permanent inaweza kuwa miaka 100 basi... So haiwezi leta permanent damage kwa ecosystem... At least kwa kijieneo utakapochimba.
Heshima kwako ndugu

Naomba nitoe hofu yangu.

Kwanza nianze na neno HIFADHI YA TAIFA
Hii ni ardhi iliyohifadhiwa/kutengwa kwa ajili ya wanyama/mimea pori na shuhuli zozote za kibinadamu haziruhusiwi (is protected area/land for Fauna and Flora )

Sasa turudi kwenye hoja yangu, Tuna Hifadhi ya Serengeti (world heritage site) hii Hifadhi inasadikiwa kuwa inautajiri mkubwa wa Madini mbalimbali kama Gold , Dimond, uranium nk, na sehemu kubwa ya Madini hayo yanapatikana kwenye milima iliyopo Seronera (central Serengeti) pamoja na Lobosiriet (wildebeest migration corridor).
Sasa ukisema tuanzishe shuhuli za kibinadamu kwenye maeneo hayo lazima tutaiharibu hadhi ya Serengeti pamoja na kuidestroy Serengeti ecology and ecosystem.

Ila kwakuwa ndugu kijazi yupo makini na Hifadhi zetu na zaidi Mama Samia ni msikivu na muelewa, tuache vikao viendelee na mwisho wa siku tutapata uamuzi Mzuri wenye faida kwa Taifa na sio kwa mtu ili kutengeneza Legacy yake.

Ukinizingua nitakuzingua........
 
Kimsingi mama hapa anatupa mitusi ya nguoni kwa marhuum mwendazake kwamba alichokua anafanya ni upuusi, ndiomaana kaanza mapemaaaa kupindua meza , na bado atasema mengi na kutengua mengi, watu wameishi kama masheytwany kwa muda mrefu sana ,bila kusahau kiunganishi Qhymaaamaye
 
Majinga ndio yalikuwa yanatusumbua

Watu wenye akili zao huwa wanaenda sambamba na dunia

Wapuuzi wachache waliokuwa wame brainwashed na mwendazake jiwe ndio yalikuwa hayaeleweki

Sasa ndio watajua kuwa walikuwa hawajui .

Sisi tutampongeza rais anaefuata taratibu tulizojiwekea sio anaetaka taka mambo yaenda anayotaka yeye.

Mwambie Dr NZABAYANGA aache ujiwelism
 
Mbona mambo mengi wanabadilishwa ghafla. Meza inapinduliwa, mapaparazi wanaenda kuwa huru. Covid 19 itaanza kushughulikiwa kikamilifu. Nadhani huu ni mwanzo, mengi yanakuja. Ngoja tuone, muda utatoa majibu.
Mwendazake huko aliko ananunaaaaaa
 
Tanzanian president Samia Suluhu said the closed media houses would be allowed to resume operations but they should adhere to the law.

- The head of state at the same time, revoked the appointment of Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) director-general James Kilaba and replaced him with Jabir Kuwe

- John Magufuli who died in March was, despite his impressive development agenda, criticised for silencing the Opposition and trampling on freedoms of media and expression

Tanzanian president Samia Suluhu has directed all media houses that had been shut down during the late John Pombe Magufuli's administration to resume operations, in what would be a big win for press freedom.

The soft-spoken East African leader who took the oath of office after her predecessor's death announced the good news on Tuesday, April 6.

"The Ministry of Information, I hear there are media outlets you have closed, please let them resume their operations, but they should adhere to all the laws and guidelines released by the government. Let's not give them a chance to say we have suppressed media freedoms, "Suluhu stated.

Tanzanian Newspaper That Published Ad Mourning President Samia Suluhu Fires Senior Editors: "Uzembe"

Suluhu, at the same time, revoked the appointment of Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) director-general James Kilaba, and replaced him with Jabir Kuwe.

Polished steel with protective coatingDusson

by Taboola

Sponsored Links

Kilaba had served as TCRA boss since 2016 when he was appointed by the then president John Magufuli.

Kuwe's sacking came a few days after Tanzanians protested the move to increase data charges forcing the increase to be suspended under Suluhu's orders.

Magufuli who died on Wednesday, March 17, from heart-related complications, was, despite his impressive development agenda, criticised for silencing the Opposition and trampling on freedoms of media and expression.

In May 2020, for instance, two Kenyan journalists were arrested in Tanzania while covering coronavirus stories.

According to a statement from the Ministry of Interior, Clinton Isimbu and Kaleria Shadrack, both from Elimu TV, were in the country illegally and were detained at the Immigration offices in Arusha.

The duo was apprehended at Namanga after they were found interviewing locals on COVID-19 matters in the virus-ravaged East African nation.

"The two suspects got into the country using unofficial routes, and they have been held at the Immigration department for further disciplinary actions," the statement read.
 
Back
Top Bottom