Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mungu ni mwema, mama anaonyesha mwanga kusonga mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi iendelee kwioJamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendelee
"Tutumie akili sio kutunishiana misuli" hii awamu ya kutumia akiliMnaimba mama mama kumbe huku nyuma mnaingiaza ngada kumbaf sana nyie
Tumemsikia ila fuata sheria za jfMods mmemsikia mama?
Ila hapo kwenye kuchimba Madini yaliyopo ndani ya eneo la National Parks zetu hapo sikubaliani Naye.
Ila kwakuwa hakuna kama mama wacha nikubali kutokubaliana
Msuli na akili hutumika kwa pamoja ww njemba"Tutumie akili sio kutunishiana misuli"...hii awamu ya kutumia akili
Ha ha ha ha kwani ccm si n ileile?Mnaimba mama mama kumbe huku nyuma mnaingiaza ngada kumbaf sana nyie maza atakufungeni tu
Keshasema wakimzingua atawazingua.Katika hotuba yake leo ikulu dar es salaam amezungumzia suala la vifurushi kuwa lilizuka lakini wahusika wa mamlaka wametuliza kero hiyo. Wakati hali ya vifurushi bado ni tete!
Hahahaaa . . jamani DodomaDodomaa...
Tulisema..
😂😂😂😂
Kwaheri Dodoma.
Tatizo letu pia watanzania ni unafiki. Wakati JPM alipokuwa madarakani watu walimsifia sana hasa MATAGA. Lakini sasa hivi mambo yamekuwa vinginevyo kabisa maana washageuka upande. Tuna shida kubwa sana kama taifaHa ha ha ha kwani ccm si n ileile?
Maono ya mama ndivyo inavyotakiwa kwa mtu aliyepewa dhamana ya uongozi.
Jiwe alipenda kutisha na kuwaogopesha watu akawatengenezea watu nidhamu za uoga maofisini akidhani atafanikiwa kwny utawala wake kumbe subordinates walikuwa wanamchora tu.
Uko sahihi Mkuu.Tatizo letu pia watanzania ni unafiki. Wakati JPM alipokuwa madarakani watu walimsifia sana hasa MATAGA. Lakini sasa hivi mambo yamekuwa vinginevyo kabisa maana washageuka upande. Tuna shida kubwa sana kama taifa
Nani alie haribu mahusiano yetu na mataifa ya nje? Kwanini tulifikia hapo viongozi wa chama walikua wapi?''Mna kazi kubwa ya kurudisha mahusiano na mataifa ya nje, Mhe. Waziri wewe ni hodari sana kwenye hili, wanakusikiliza sana umeshafanya nao kazi sana, kuna msemo unasema ukitaka kufika haraka nenda peke yako ukitaka kufika mbali nenda na wenzako, sasa twende na wenzetu, mkashughulikie hilo'' - Rais Samia Suluhu.
#UapishoIkuluView attachment 1744869