Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Katika hotuba yake leo ikulu dar es salaam amezungumzia suala la vifurushi kuwa lilizuka lakini wahusika wa mamlaka wametuliza kero hiyo. Wakati hali ya vifurushi bado ni tete!
 
Naona shughuli ya kuwaapisha wateule mbalimbali inafanyika Dar badala ya Dodoma kama ilivyotangazwa hapo awali.

Kwanini hawajasafiri waende Chamwino?
alisema ni ikulu ya dsm
 
Pssf najua unahali mbaya sana,sijatoa mtu kwasababu tunataka kulitengeneza ndiyo tupange safu mpya
 
Ila hapo kwenye kuchimba Madini yaliyopo ndani ya eneo la National Parks zetu hapo sikubaliani Naye.

Ila kwakuwa hakuna kama mama wacha nikubali kutokubaliana
Mkuu kasema opportunity cost ndio muhimu.... Unapima hasara na faida. Coz unaweza hata compensate kwa kutenga au kupanua hifadhi upande mwingine na ukapunguza upande mwingine.

More so uchimbaji sio permanent inaweza kuwa miaka 100 basi... So haiwezi leta permanent damage kwa ecosystem... At least kwa kijieneo utakapochimba.
 
TRA kusanyeni kodi ila mimi sizitaki Kodi za dhuluma. Mambo ya kutisha watu kuwapa kesi za uhujumu uchumi ili mpewe kodi, sitaki hayo mambo tena.

Mama ndivyo alivyomalizana na TRA
Mkuu ameongea hayo kweli?
 
Mamamamaa mama mama uyoo mama mama uyo mama mama uyo mamamaa
 
Back
Top Bottom