Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Nimekuwa nikisema mara kwa mara, siku Magufuli anafariki huo ndio utakuwa mwisho wa Dodoma. Nakupa mpaka mwisho wa mwaka huu, Dodoma itakuwa hadithi.
Wajanja watakaa Dar Kama mama,
Dodoma watakaa wale "ndio mkuu" Kama HK, MN, NDUGAI n.k
 
Dodoma :Ring Road na Uwanja wa Ndege Msalato..... Mama kasema ni 'msala'....

Haahahaa.....

Magu pumzika tu Babaa...
 
Utalii na covid........kamati nitakayoiunda na utalii itakuwemo
 
Dodoma bado mji wa kichovu. Nakumbuka mwaka jana nilikwenda sehemu moja wanaiita "uzunguni" nikaingia kwenye restaurant moja ya "kishua" nikaagiza English breakfast. Wala haikuja kama nilivyotarajia. Haikuwa mbaya sana lakini mayai ya kukaanga yalipikwa kupika kiasi mpaka yakawa yamekakamaa!! [emoji2]
Kwa hio kipimo cha mji usio wa kichovu ni english breakfast?
 
Ila hapo kwenye kuchimba Madini yaliyopo ndani ya eneo la National Parks zetu hapo sikubaliani Naye.

Ila kwakuwa hakuna kama mama wacha nikubali kutokubaliana
 
Back
Top Bottom