Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Jaman hawa walimu 6000 aliowataka tamisemi na watumishi warudishe ni wale wa vyeti feki?

Naomba mnijulishe
Aanze na kuwalipa fidia waliovunjiwa nyumba zao kwa uonevu na tanroads hapa Kimara Kibamba ili tuwe na umoja wa kitaifa. Pili wapitie mafaili ya wakioonewa kwenye vyeti feki ili kazi iendelee
 
madaraja kwa watumishi,ajira kwa vijana.haya Mambo yakifanyika yatachangamsha uchumi mitaani.
 
Jf tunaomba iwe kama zaman mama ashatupa kibari
 
Nimefurahi mama kaongea ishu ya madini ya KITALU C ...hapo ndipo chato gang walikua wanashirikiana na dikteta fulan linalovaaga miwani lembamba hivi refu kama twiga waalikua wameanza kuweka mipango ya kuweka mikono yako kwenye madini yetu ...mamaeee...
 
Vyombo vya habari vilivyofungiwa vifungulieni, lakini vifuate sheria zilizopo. Na kanuni za kufungia ziwe wazi, msifungie kibabe mkawapa watu sababu ya kusema tunaminya Uhuru wa habari.
Mh. Samia.
 
Back
Top Bottom