guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
udhalili ndiyo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaDodoma inaenda kujifia kama mradi wa kufuga Sungura na Kware
Mwache afunguke Mama yetu.Mama ameanza kutoboa siri hapa, akiwa vp
HapanaMkuu wewe inakuchukiza?
Yeah kuna kamwanga kidogo kanaonekanaMwache afunguke Mama yetu.
Anaelewa dhana ya alama ya kiulizo??Muwe mnasikiliza vizuri jamani
Ukweli na uhakikaMama yuko vzr..leo nasikiliza tbc taifa baada ya miaka kama 10 hv
Mama ananikosha sana..."sisi ndio wahitaji hatuna haja ya kutunishiana misuli"Ukweli na uhakika
Nikweli kabisa, tumekuwa maskini jeuriMama ananikosha sana..."sisi ndio wahitaji hatuna haja ya kutunishiana misuli"