Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake hii ya Kuwaapisha Wateule wake amejipambanua atakuwa na mwelekeo tofauti kabisa na mtangulizi wake hayati Magufuli. Mama ametamka wazi anataka Fedha irudi mifukoni mwa Watanzania!!

Mama anaenda kuirudisha Tanzania kwene reli. Mungu amsaidie mama atupe neema na 4wha baada ya msoto wa miaka 5 na miezi 5! Hii inadhihirisha mama alikuwa anaminywa vibaya sana na Hayati Jiwe....!!!

God bless Tanzania, God bless our dear mommy. Amen.
 
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani atakuja kuwa outshine watangulizi wake wote cha msingi akae mbali na mamruki wanao sifia sifia ovyo. ameanza vizuri na ana adress matatizo ya msingi ambayo mengi yalitengenezwa kwa makusudi au bahati mbaya na watangulizi wake.
 
"Unapoachiwa mirathi na ukaipuuza unakosa radhi, naomba tukaikamilishe, urasimu na ucheleweshaji wa miradi hili hatutaki kuona" Rais Mama Samia Suluhu
 
Back
Top Bottom