3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Rais anaongea facts kwa lugha nzuri ya kuvutia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuowaona wenye sifaHapa wanawake hamna jinsi ya kulalamika, rais samia pia hajaangalia gender balance, kawapunja wanawake kwenye hizi teuzi
Acha tuu.... Acha kabisa.Jaman hivi huyu madam alikuwa wapi?
Kweli madam yupo vyema anaenda vizuri atatuweka sawa jamani
Hahahahahahhaha...Samia wetu wa May Mosi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawasalimu: kwa jina la Muungano wa Tanzania
Mnajibu: Kazi iendelee
Samia wetu wa May Mosi aiseh
Siku zote Magufuli alikuwa Dodoma?Wanatuletea mifoleni Dar
Jeshi litakuwa linaelekea huko muda huuKitalu C kule Mererani asionekane hata nzi anakaribia.