balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Mkuu hawa sio Ajira mpya amesemaWalimu 6000 mnakula mashavu mwaka huu,anzeni ku update CV.
Jaman hawa ni wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawa sio Ajira mpya amesemaWalimu 6000 mnakula mashavu mwaka huu,anzeni ku update CV.
Mpango kwa nini anatoaga maagizo wakati rais yupo? Au ni makamu wa rais wa zamani walikua hawatimizi majukumu yao ya cheo chao kwa woga?
Jaman hawa walimu 6000 aliowataka tamisemi na watumishi warudishe ni wale wa vyeti feki?
Naomba mnijulishe
Hawa 6000 amesema sio wapyaajira mpya:
1)6000 walimu
2)madaktari kuservice vituo vipya vya afya
Kazi iendelee!Nawasalim ktk jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.........
Mkuu hawa sio Ajira mpya amesema
Jaman hawa ni wapi??