Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Dodomaa...

Tulisema..
😂😂😂😂

Kwaheri Dodoma.
Mnasikitisha sana, fikra za kushangilia Dar au Dodoma hazina chochote katika kulisaidia Taifa.

Ateuliwe Baba yako au Shangazi yangu bado hizi ni kazi ambazo usipowajibika madhara yake ni makubwa mpaka katika vizazi vingine vya familia husika..usione tu wanajamii wanakuchekea wakati unawaumiza ukafikiri umemaliza.
 
Watu wanataka wapigwe na upepo wa bahari ya hindi

Ova
Dodoma bado mji wa kichovu. Nakumbuka mwaka jana nilikwenda sehemu moja wanaiita "uzunguni" nikaingia kwenye restaurant moja ya "kishua" nikaagiza English breakfast. Wala haikuja kama nilivyotarajia. Haikuwa mbaya sana lakini mayai ya kukaanga yalipikwa kupika kiasi mpaka yakawa yamekakamaa!! 😃
 
Poleni...mmetunyanyasa sana.Kelele zilikuwa nyingi mnoo.
Mnasikitisha sana..fikra za kushangilia Dar au Dodoma hazina chochote katika kulisaidia Taifa..
Ateuliwe Baba yako au Shangazi yangu bado hizi ni kazi ambazo usipowajibika madhara yake ni makubwa mpaka katika vizazi vingine vya familia husika..usione tu wanajamii wanakuchekea wakati unawaumiza ukafikiri umemaliza..
 
Nimekuelewa sana bwashee!
 
Niliachaga kuzifuatilia hotuba za Rais kwa kuogopa maneno makali na yanayotolewa na wahutubiaji.
Ila toka tumpate Mama sina hofu kabisa, maadili nidhamu zimezingatiwa.

Hakuna kama mama hapa duniani.
Mungu akulinde Rais wangu Mama Samia
 
Back
Top Bottom