barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mpango kwa nini anatoaga maagizo wakati rais yupo? Au ni makamu wa rais wa zamani walikua hawatimizi majukumu yao ya cheo chao kwa woga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maza anapenda townNaona shughuli ya kuwaapisha wateule mbalimbali inafanyika Dar badala ya Dodoma kama ilivyotangazwa hapo awali.
Kwanini hawajasafiri waende Chamwino?
TeteteNiliachaga kuzifuatilia hotuba za Rais kwa kuogopa maneno makali na yanayotolewa na wahutubiaji.
Ila toka tumpate Mama sina hofu kabisa, maadili nidhamu zimezingatiwa.
Hakuna kama mama hapa duniani.
Mungu akulinde Rais wangu Mama Samia
ChatoIkulu ni Ikulu tuu
Rais anaweza hata kuwaapishia ikulu ya Mtwara🤣🤣🤣
Imeanza mkuu, mama anatusalimu kwa jina la jamuhur ya muungano wa tanzania, sema kaziiiiiiiiiii iendeleeeeeeee.nasubiria khotuba ya mama
Kazi iendeleeeeee......Imeanza mkuu, mama anatusalimu kwa jina la jamuhur ya muungano wa tanzania, sema kaziiiiiiiiiii iendeleeeeeeee.
Kazi iendeleeNawasalim ktk jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.........
Kazi iendeleeNawasalim ktk jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.........
SafiNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tz
Mtaitikia kazi iendelee
Mama Samia
Ata mimi nipo hapa namsikiliza rais wangu kipenzi.Niliachaga kuzifuatilia hotuba za Rais kwa kuogopa maneno makali na yanayotolewa na wahutubiaji.
Ila toka tumpate Mama sina hofu kabisa, maadili nidhamu zimezingatiwa.
Hakuna kama mama hapa duniani.
Mungu akulinde Rais wangu Mama Samia
Angefufuka leo mngekoma.
Anakoma yeye sasa huko,Angefufuka leo mngekoma