Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Huyu wa TCRA aanze na voda wataleta kiburi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake hii ya Kuwaapisha Wateule wake amejipambanua atakuwa na mwelekeo tofauti kabisa na mtangulizi wake hayati Magufuli. Mama ametamka wazi anataka Fedha irudi mifukoni mwa Watanzania!!
Mama anaenda kuirudisha Tanzania kwene reli. Mungu amsaidie mama atupe neema na 4wha baada ya msoto wa miaka 5 na miezi 5! Hii inadhihirisha mama alikuwa anaminywa vibaya sana na Hayati Jiwe....!!!
God bless Tanzania, God bless our dear mommy. Amen.
Hapana
Mnaimba mama mama kumbe huku nyuma mnaingiaza ngada kumbaf sana nyie maza atakufungeni tuMamamamaa mama mama uyoo mama mama uyo mama mama uyo mamamaa
Waniuzie mimi 😀😀 ila wakamilishe kwanza lile geti la barabara ya mfugale.Dodoma ni maono ya baba wa Taifa, aliyepajenga sasa alikuwa akikamilisha tu maono ya JKN
Yeye keshamaliza, mkitaka mpauze shauri yenu yeye Hana deni lolote na yeye yupo kwenye Ufalme mwinginee