Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Kafanye kazi. Mkaonyeshe uzalendo uliotukuka. Katekelezeni yale yaliyomo kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
 
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake hii ya Kuwaapisha Wateule wake amejipambanua atakuwa na mwelekeo tofauti kabisa na mtangulizi wake hayati Magufuli. Mama ametamka wazi anataka Fedha irudi mifukoni mwa Watanzania!!

Mama anaenda kuirudisha Tanzania kwene reli. Mungu amsaidie mama atupe neema na 4wha baada ya msoto wa miaka 5 na miezi 5! Hii inadhihirisha mama alikuwa anaminywa vibaya sana na Hayati Jiwe....!!!

God bless Tanzania, God bless our dear mommy. Amen.

Kujipa Moyo ni jambo zuri
 
Dodoma ni maono ya baba wa Taifa, aliyepajenga sasa alikuwa akikamilisha tu maono ya JKN

Yeye keshamaliza, mkitaka mpauze shauri yenu yeye Hana deni lolote na yeye yupo kwenye Ufalme mwinginee
Waniuzie mimi 😀😀 ila wakamilishe kwanza lile geti la barabara ya mfugale.
 
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.......KAZI IENDELEE....!!!!! ukinizingua......
 
Mama anasema mkimzingua naye anawazingua,,😂😂
 
Back
Top Bottom