Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Japo nilikuwa naamini yawezekana wapigaji awamu ya tano hawakuwepo kumbe wapo wanapiga parefu
Walimsoma mzee na kugundua kumbe ana weaknesses nyingi na anabana sehemu zingine afu kwingine anajisahau anaachia LOOPHOLES so wahuni wakawa wanazitumia hizo hizo tundu kupiga mpunga mkubwa mkubwa huku wakimzoom Mr Misifa anavyojitapa, nayeye alikua ana watu wake wanapiga mpunga afu wanamletea hesabu tu huku anazubalisha wanyonge wake na miradi..
 
Reactions: Lee
Walimsoma mzee na kugundua kumbe ana weaknesses nyingi na anabana sehemu zingine afu kwingine anajisahau anaachia LOOPHOLES so wahuni wakawa wanazitumia hizo hizo tundu kupiga mpunga mkubwa mkubwa huku wakimzoom Mr Misifa anavyojitapa..

Ila tz ....hapana kiukwel
 
Kuna watu hawakumuelewa mama katika hili wanadhani kwenye mbuga hakuwezi kuwa na project nyingine, kunaweza fanyika ikiwa EIA itafanyika vizuri.

Ikiwa EIA ikifanyika vizuri tutajua hasara na faida za kufanya huo mradi kuangalia maendeleo endelevu utunzaji wa mazingira na maisha ya viumbe hai.

Sasa ikiwa walimkubalia Magufuli na Bwawa la Rufuji kujenga mradi wa umeme wa maji na pale kuna project ya utalii na maji ambapo EIA ilikataa basi wamkubalie tu mama kwa sababu kuna baadhi ya mbuga faida ni ndogo kuliko tungechimba hayo madini tungepata faida kubwa kwa ajili ya maendeleo endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…