Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema.
Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na kutuuzia vyombo vya jikoni?
Mheshimiwa Rais inamaana hakuna raia wako wanaomudu hizi kazi mpaka idara yako ya uhamiaji inaruhusu wachina kuja kufanya?
Tunapo elekea tutaanza kuona wachina wanaenda mstuni kukata mkaa.
Je hii ndiyo kile tunachoambiwa nchi imefunguka? Kwa maoni yangu kama hii ndiyo dhana ya kufungua nchi ni bora ingeendelea kufungwa tu.
Asante mheshimiwa, hivi naweza kuja hapo kupata maji baridi na kupunga upepo hapo magogoni?