Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria na utaratibu unaruhusu mchina kufanya hizo shughuli?Wanafanya biashara kwa sababu wewe umezubaa!, huoni fursa, umebaki na lawama jadi ya mtanzania mpumbavu.
anhaaa! hamjui basi mkacheze rede!Veta tukafanye nini sasa?
Kwa 100% uko sawaSiku hizi hakuna tiss kuna UVCCM yaani wezi wa Mali za umma hakuna ethics
Popote pale ukizubaa wenye uoni Wana take advantage!Sheria na utaratibu unaruhusu mchina kufanya hizo shughuli?
Ukimwambia kijana twende chaka hataki anasubiria ajira bot,tra,bandariMchina anatoka china anauza sufuria anapata utajiri, mtanzania na vyeti vyake amekaa sebuleni kwa baba anasubiri ajira/kazi serikalini
Wabongo wenyewe wako China wanafunga mizigo na kufanya uwakalaNa bado ikashindwa kuwazuia, duu awamu hii kweli nchi imefunguliwa.