Rais Samia Suluhu Hassan Je, umeruhusu Wachina waje Tanzania kutuuzia Yeboyebo na Masufuria mitaani?

Tuone picha wachina wakitembeza masufuria na yebo mitaani
 
Ulishafuatilia kazi wanazofanya diaspora huku nje ya nchi? Zile wanazoita "Kupiga Box" unazijua? Je na wao wakizuiwa kufanya itakuwaje? Kama wachina wameona kuna fursa na sisi hatuzioni wao wana kosa gani?
 
Wachina kanda ya ziwa wana nunua migodi midogo kwa kupitia leseni za wachimbaji wadogo yani wanatumia leseni za wazawa.
Au wanachofanya leseni itakuwa ya mtanzania yeye anakuwa nyuma kisha anaita wachina wenzake wanapiga kazi.

Kitu chengine cha kuchekesha wakikata leseni ya madini wanakata leseni ya uchimbaji shaba lakini wao wanachimba dhahabu.
 
Kwani kuwepo kwa wachina wanaouza mtaani kuna kupunguzia nini? Mbona Watz tupo kila kona na tunauza hadi pipi? Mchukulie mchina kama jirani yako utaacha kulalamika. We pambana mzee
 
Je unafahamu hapo kariakoo Kuna watu wanamitaji ya 200000/-tu na wanaishi vizuri sana?, kwa mtaji huo, jioni anajirudia nyumbani na 30,000/-nyeupe safi kabisa!
 
Ulishafuatilia kazi wanazofanya diaspora huku nje ya nchi? Zile wanazoita "Kupiga Box" unazijua? Je na wao wakizuiwa kufanya itakuwaje? Kama wachina wameona kuna fursa na sisi hatuzioni wao wana kosa gani?
Huko nje uchumi wao ni kama wa Tanzania?
Serikali zao zimeweka wananchi wao katika nafasi nzuri na kazi za makapi wanaachiwa wageni.

Tanzania ipo hivyo pia?
 
Je unafahamu hapo kariakoo Kuna watu wanamitaji ya 200000/-tu na wanaishi vizuri sana?, kwa mtaji huo, jioni anajirudia nyumbani na 30,000/-nyeupe safi kabisa!
Wengine ni mawinga tu hata mtaji hawana.asubuhi anawahi Kariakoo jioni anarudi na chochote kitu maisha yanaendelea tofauti na wale wa Mzee, Mkurugenzi, tajiri, etc , una buku ya karibu hapo?
 
PICHA PLEASE
 
Mchina anatoka china anauza sufuria anapata utajiri, mtanzania na vyeti vyake amekaa sebuleni kwa baba anasubiri ajira/kazi serikalini
Sas hapo huoni tatizo ni la serikali kutokuweza kwenye elimu wezeshi kea vijana juu ya namna ya kupambana na maisha nje ya usomi!!, Yaani ufundishe mtoto kuanzia drs la 5 kuhusu uchumi wa kikoloni mpk anamaliza chuo kikuu anasoma kitu kilekile afu uje umlaum kukosa kitu cha kufanya?.
Mitaala mibovu, viongozi dhaifu, bogus hawawezi kutengeneza wasomi wenye uthubu zaidi ya legelege na wanaotegemea ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…