Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
1638961385965.png
 
Unajua watu wapo busy sana sio kutoa taarifa watu waache shughuli zao za maana na kuangalia Tamthilya zao alafu kumbe kinachoongelewa ni yaleyale ya kila siku... Hapo itakuwa ni ubadhirifu wa muda...
 
Hii ni kuelekea 9 December miaka 60 ya uhuru,Ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha wananchi wote pale uwanja wa uhuru.

Pia atatangaza majina ya taasisi mpya ya Tathmin itakayokuwa inafuatilia miradi yote ya Serikali kujua kama pesa ambazo serikalini inapeleka ndizo gharama halisi zinazitumika?
 
Na atatangaza ukaguzi mpya wa tenda na miradi mikubwa yote iliyofanyika awamu pendwa
 
Back
Top Bottom