Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Miaka 60 ya Uhuru kuonesha wapi tunetoka, tupo na tunaelekea wapi

Mmeshasahau tangazo la JWTZ la hivi karibuni watu mkakaa mkao wa 'kula' kumbe ni tangazo la tahadhari dhidi ya matapeli
 
Leo katika hotuba yake
Atazungumzia mambo ya miaka 60 ya Uhuru tukesho uwanja wa taifa atamwachia mgeni wa heshima Uhuru Kenyatta ahutubie basi
 
Hii ni kuelekea 9 December miaka 60 ya uhuru,Ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha wananchi wote pale uwanja wa uhuru.

Pia atatangaza majina ya taasisi mpya ya Tathmin itakayokuwa inafuatilia miradi yote ya Serikali kujua kama pesa ambazo serikalini inapeleka ndizo gharama halisi zinazitumika?
Aache kushobokea uhuru wa Tanganyika
 
Back
Top Bottom