Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Kesho kwenye sherehe za uhuru wa Tanganyika, hatahutubia?😳
 
Naona hapo kuna Bendera 2 ya Tanzania sijui hiyo nyingine ni ya wapi??
 
Sioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.
Tabia mbaya sana kila Sikh kuonekana unakuwa anapoteza mvuto sijui ajifunzi kutokana kwa Magufuli alivyo chokwa
 
Huo ndio ukweli, Tanganyika inapaswa kuongozwa na mtanganyika....huyo ni mvamizi (mkoloni)
Primitive nonsense! Tanzania itaongozwa na Mtanzania yeyote kutoka Bara au visiwani, atakayekidhi vigezo vya Katiba. Kwa sasa na bado Katiba inamruhusu, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Atakuwa kaambiwa na wahisani wake kesho hakuna kwenda uwanjani ni kutii agizo la kuiweka nchi kikorona korona, huwezi kula hela za watu burebure tu.
Ndio anamaliza sherehe za uhuru leo jioni,
 
Kwani kesho hakuna sherehe ya Uhuru ya Kitaifa mpaka ahutubie Taifa Usiku ......!!?
Kesho sherehe, waongeaji ni wengi muda mchache, Makomando nao inabidi wapewe muda kupasua tofali kwa kutumia kucha.
 
Atahutubia ila hatalihutubia taifa sababu taifa lina watu wasiotaka na hatuna mda wa kusikiliza mgonjera zake
Hii inawahusu wataosikiliza Chief, wewe angalia tamthiliya zako za akina Pierre Liquid
 
Sioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.
Hayupo kwenye TV kila siku, ni matukio anayohudhuria ndiyo yanamfanya awe kwenye TV kila Siku, And ukiacha TBC ambao ya Taifa, TVs nyingine pamoja na social medias wanarusha matukio yake bila kulipwa chochote, sababu zipo 3;1. Kuna ambao ni wazalendo wa nchi 2. Kuna wengine wanatafuta viewers and 3. Wengine wanajipendekeza kwa chama na serikali ili kakitokea kafursa wasiachwe!! MwanahalisiTV (Unawafahamu msimamo wao) kutwa kuchwa wanamfuata Rais anapokuwa kwenye matukio na kuyarusha live kwenye social medias zao, hao tafuta kundi la kuwaweka Bwana Tindo
 
Back
Top Bottom