Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Kwa hiyo leo usiku Rais anahutubia taifa, na kesho asubuhi kwenye maadhimisho ya uhuru anahutubia tena taifa!
Yaani ndani ya masaa 24 Rais anakwenda kuhutubia taifa mara mbili!
Nini mantiki?
Kwanini asihutubie tu mara moja?
Kwanini Rais apoteze muda wa taifa wa kuwa attentive mara mbili ili kumsikiliza?
 
Kama leo atahutubia taifa na kesho asubuhi ahutubie tena taifa basi nitaamini wazi kuwa, huyu rais strategically yuko very poor na wasaidizi wake ni mambumbu kabisa. Yaani hawajui hata kupangilia mambo yao, wanakwenda tu.
 
Haijalishi anaonyeshwa na vyombo vyenye nia gani, lakini sisi wananchi huwa tunamuona kila mara, na hata yeye anapohutubua anajua tunasikiliza. Sasa kwa mtiririko wa hotuba zake zote, sioni akiwa na jipya zaidi ya cheap publicity.
Huwa hakuna cheap, bad wala good publicity, zote zinampaisha mtu! Mwanasiasa yeyote anapenda kuongelewa muda wote iwe kwa mabaya au mazuri! Ukiwa ni mwanasiasa na hakuna anayekuongelea either kwa mabaya au mazuri inabidi ufungashe virago, umeshachuja
 
Kama leo atahutubia taifa na kesho asubuhi ahutubie tena taifa basi nitaamini wazi kuwa, huyu rais strategically yuko very poor na wasaidizi wake ni mambumbu kabisa. Yaani hawajui hata kupangilia mambo yao, wanakwenda tu.
Kesho ni siku ya makomandoo kupasua tofali, kujirusha kutoka kwenye helikopta inayoruka mita 200 bila kutumia kamba! Akina Uhuru, Mume wa Malkia Wa Uingereza (Philips), JK, Mwinyi, Shein na wazee wanayoijua TZ ya Nyerere kujimwaga!! Hakutakuwa na muda wa kudemuka
 
Inatakiwa kuwe na interviews na waandishi wa habari angalau mara moja kwa mwezi.
Nafikiri arejee na huu utaratibu wa kuongea na taifa walau mara moja kwa mwezi aya mambo ya kuwa unaenda adi kufungua vyuo una ruka live hayafai
 
Ameupiga mwingi ulaya ili mama asikilizwe nilazima ajibu kwanza maswali muhimu kuhusu lisu na democrasia demo cracy sio kurembua kau najicho limeiva Sana ni vitendo
Alichokuwa anakipigania Mbowe miaka yote ya jiwe kitatimia, wakae chini waridhiane na wakubaliane wafanye nini kudumisha demokrasia bila pande yoyote kuonekana inaonewa/kupendelewa, wakati huo huo nchi ikijengwa na watu wote bila kujali ni upinzani or utawala.
 
Huwa hakuna cheap, bad wala good publicity, zote zinampaisha mtu! Mwanasiasa yeyote anapenda kuongelewa muda wote iwe kwa mabaya au mazuri! Ukiwa ni mwanasiasa na hakuna anayekuongelea either kwa mabaya au mazuri inabidi ufungashe virago, umeshachuja

Sasa mbona wakizungumzwa kwa mabaya yao wanateka watu na kuwapoteza?
 
Atadeclear kwa umma kwamba hazitambui phD za kuokota jalalan kama ile ya bwana yule wa hivi karibuni
 
Back
Top Bottom