Hii Bendera ya kulia (kushoto kwake) ni ya taifa gani hilo. Tujulishane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Bendera ya kulia (kushoto kwake) ni ya taifa gani hilo. Tujulishane.
As long as ni kwa masilahi makubwa ya Taifa siyo mbaya
Na wewe ni Mtanzania? Na ulisoma civics YaniHii Bendera ya kulia (kushoto kwake) ni ya taifa gani hilo. Tujulishane.
Kuna UhuruKuna nini, mbna taarifa ya ghafla Kama msiba?
Manvi a.k.a namungo Fc hachomoki!Mama anavunja baraza la mawaziri
Huwa hakuna cheap, bad wala good publicity, zote zinampaisha mtu! Mwanasiasa yeyote anapenda kuongelewa muda wote iwe kwa mabaya au mazuri! Ukiwa ni mwanasiasa na hakuna anayekuongelea either kwa mabaya au mazuri inabidi ufungashe virago, umeshachujaHaijalishi anaonyeshwa na vyombo vyenye nia gani, lakini sisi wananchi huwa tunamuona kila mara, na hata yeye anapohutubua anajua tunasikiliza. Sasa kwa mtiririko wa hotuba zake zote, sioni akiwa na jipya zaidi ya cheap publicity.
Kesho ni siku ya makomandoo kupasua tofali, kujirusha kutoka kwenye helikopta inayoruka mita 200 bila kutumia kamba! Akina Uhuru, Mume wa Malkia Wa Uingereza (Philips), JK, Mwinyi, Shein na wazee wanayoijua TZ ya Nyerere kujimwaga!! Hakutakuwa na muda wa kudemukaKama leo atahutubia taifa na kesho asubuhi ahutubie tena taifa basi nitaamini wazi kuwa, huyu rais strategically yuko very poor na wasaidizi wake ni mambumbu kabisa. Yaani hawajui hata kupangilia mambo yao, wanakwenda tu.
Nafikiri arejee na huu utaratibu wa kuongea na taifa walau mara moja kwa mwezi aya mambo ya kuwa unaenda adi kufungua vyuo una ruka live hayafai
Ili achukue Makamu ambaye hata kuongea hawezi?
Ya Rais I thinkHii Bendera ya kulia (kushoto kwake) ni ya taifa gani hilo. Tujulishane.
Tumebadilishana tu, na wa visiwani si mzaramo wa Mkuranga?
Alichokuwa anakipigania Mbowe miaka yote ya jiwe kitatimia, wakae chini waridhiane na wakubaliane wafanye nini kudumisha demokrasia bila pande yoyote kuonekana inaonewa/kupendelewa, wakati huo huo nchi ikijengwa na watu wote bila kujali ni upinzani or utawala.Ameupiga mwingi ulaya ili mama asikilizwe nilazima ajibu kwanza maswali muhimu kuhusu lisu na democrasia demo cracy sio kurembua kau najicho limeiva Sana ni vitendo
Huwa hakuna cheap, bad wala good publicity, zote zinampaisha mtu! Mwanasiasa yeyote anapenda kuongelewa muda wote iwe kwa mabaya au mazuri! Ukiwa ni mwanasiasa na hakuna anayekuongelea either kwa mabaya au mazuri inabidi ufungashe virago, umeshachuja
Ni mmoja tu katika historia ya nchi yetu alithubutu kufanya hayo, naye yupo wapi muda huu?Sasa mbona wakizungumzwa kwa mabaya yao wanateka watu na kuwapoteza?
Bendera ya RaisHii Bendera ya kulia (kushoto kwake) ni ya taifa gani hilo. Tujulishane.