Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hizo ni dua za kindezi. Kesho ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika. Lazima Mkulu wa Nchi atie neo.Mama anavunja baraza la mawaziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni dua za kindezi. Kesho ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika. Lazima Mkulu wa Nchi atie neo.Mama anavunja baraza la mawaziri
Huyo mvamizi (mmakunduchi) akitangaza kujiuzulu itakuwa fresh sana
Awachie watanganyika nchi yao
Sioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.
Tabia mbaya sana kila Sikh kuonekana unakuwa anapoteza mvuto sijui ajifunzi kutokana kwa Magufuli alivyo chokwaSioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.
Mtanganyika mwenyewe nani? Mpango?Huyo mvamizi (mmakunduchi) akitangaza kujiuzulu itakuwa fresh sana
Awachie watanganyika nchi yao
Primitive nonsense! Tanzania itaongozwa na Mtanzania yeyote kutoka Bara au visiwani, atakayekidhi vigezo vya Katiba. Kwa sasa na bado Katiba inamruhusu, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Huo ndio ukweli, Tanganyika inapaswa kuongozwa na mtanganyika....huyo ni mvamizi (mkoloni)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asijeleta mambo ya loki dauni.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wabongo mna shida sana!!! Unatumia simu gani Chief? Ok nakuwekea tena hapa chini Kiongozi
View attachment 2037102
Kesho sherehe, waongeaji ni wengi muda mchache, Makomando nao inabidi wapewe muda kupasua tofali kwa kutumia kucha.Kwani kesho hakuna sherehe ya Uhuru ya Kitaifa mpaka ahutubie Taifa Usiku ......!!?
Hii inawahusu wataosikiliza Chief, wewe angalia tamthiliya zako za akina Pierre LiquidAtahutubia ila hatalihutubia taifa sababu taifa lina watu wasiotaka na hatuna mda wa kusikiliza mgonjera zake
Kweli Chief, wewe akili kubwaz unawasikiliza akina Lema na kuangalia tamthiliya za kifilipino.Wajinga na vilaza hotuba inawalenga nyie
Mhuuu macho yapo.Maraa paap anatangaza hazarani kujiuzulu .Kisha anelekea bandarini kupanda boti,anawaachia zigo lenu.
Hayupo kwenye TV kila siku, ni matukio anayohudhuria ndiyo yanamfanya awe kwenye TV kila Siku, And ukiacha TBC ambao ya Taifa, TVs nyingine pamoja na social medias wanarusha matukio yake bila kulipwa chochote, sababu zipo 3;1. Kuna ambao ni wazalendo wa nchi 2. Kuna wengine wanatafuta viewers and 3. Wengine wanajipendekeza kwa chama na serikali ili kakitokea kafursa wasiachwe!! MwanahalisiTV (Unawafahamu msimamo wao) kutwa kuchwa wanamfuata Rais anapokuwa kwenye matukio na kuyarusha live kwenye social medias zao, hao tafuta kundi la kuwaweka Bwana TindoSioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.