Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Naam nafikiri hivi hata Mimi, amependaWe unaakili ya kukalia keyboard tu, ametaja majina ya maraisi kumalizia hotuba.
Mwwndazake aliwahi kuchomekea majina ya marais wa nchi mbili kati ya Tz na ZambiaNaam nafikiri hivi hata Mimi, amependa
Katumia majina ya suluhu na uhuru kigezo cha kwanza,
Maana halisi ni juu yako wewe msomaji,
Hawezi kulimit fikra na mtazamo wako
Sisi wakenya nduguzetu ilawewe kwakua mlundi wakenyasio nduguzakoWe endelea kucheka na hao WAKENYA ukidhani ndugu zako.
Mama nahisi hawajui vizuri manyang'au, wale jamaa wanaangalia watabenefit vipi tu, kwa huu uhuru na suluhu anayoitaka mama tz ndio tunaenda kuwa looserWe endelea kucheka na hao WAKENYA ukidhani ndugu zako.
Kwahio wewe ndio unawajua wakenya vizuri?Mama nahisi hawajui vizuri manyang'au, wale jamaa wanaangalia watabenefit vipi tu, kwa huu uhuru na suluhu anayoitaka mama tz ndio tunaenda kuwa looser
Dah keyboard hizi,Mama anaturudishia nchi yetu yenye maziwa na awali, mama apongezwe kwa hilo, wasio mpenda wasage chips wameze
Tupo pamoja na mama, haijalishi wewe chama gani Tanzania Kwanza.
Rostam alitoa statistic data kabisa kuonyesha jinsi gani hawajamaa wanavyojua kutuchezeaMama nahisi hawajui vizuri manyang'au, wale jamaa wanaangalia watabenefit vipi tu, kwa huu uhuru na suluhu anayoitaka mama tz ndio tunaenda kuwa looser