Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

Joined
May 24, 2017
Posts
11
Reaction score
14
Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.

Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021 wakati akiongea na waandishi wa Habari katika kituo kikuu cha polisi Arusha.

Chanzo: Serengeti Post
Samia arusha.jpg
 
Kazi za kufanywa na waziri wa mambo ya ndani,kutwa anazurura nchi imejaa tozo,mfumuko wa bei,mgao wa umeme...ndio shida ya kuwa rais kwa katiba bila kupigiwa kura
 
J
#ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.

Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021 wakati akiongea na waandishi wa Habari katika kituo kikuu cha polisi Arusha.

Chanzo: Serengeti PostView attachment 2009315
JK wa pili
 
Si amalizie Mwenyekiti wa usalama barabarani kitaifa.
Mama akague mafaili wala rushwa barabarani awatumbue
 
Si amalizie Mwenyekiti wa usalama barabarani kitaifa.
Mama akague mafaili wala rushwa barabarani awatumbue
Waache wakaimbe mapambio!
Je waziri mhusika na wizara hii hawezi kuifanya kazi hii ndogo tu.
 
Back
Top Bottom